Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,760
- 3,858
Tatizo la kuota matiti kwa wanaume dawa yake nini ,matiti yanavimba ukiyabonyeza kunakuwa na kitu kigumu kwa ndani, sasa nataka hako kajitu katoke je nifanyeje? Kama kuna dawa ya asili pia naomba msaada.
Ebu tuwekee izo chuchu tuzione