MSAADA: Tatizo la wanaume kuota matiti

MSAADA: Tatizo la wanaume kuota matiti

Mkuu pole kwa tatizo mara nyingi gynecomastia inasababishwa na upungufu wa hormone dominant upande wa kiumeni nayo ni testosterone na ukawa umezidia na hormone dominant upande wa kikeni oestrogen kufanya uote matiti
Matiti ni adipose tissue zaidi na kuna uhusiano wa moja kwa moja na unene hivyo nakushauri kama ni una weight kubwa ujitahidi kukata weight hio na mwsho ujikubal
 
Ungeweka picha aisee ili tutoe msaada vizuri
 
Mkuu pole kwa tatizo mara nyingi gynecomastia inasababishwa na upungufu wa hormone dominant upande wa kiumeni nayo ni testosterone na ukawa umezidia na hormone dominant upande wa kikeni oestrogen kufanya uote matiti
Matiti ni adipose tissue zaidi na kuna uhusiano wa moja kwa moja na unene hivyo nakushauri kama ni una weight kubwa ujitahidi kukata weight hio na mwsho ujikubal

Dume ajikubali kuwa na nyonyo??!!--- What are you talking about?!!😏

There must be a cure, let's find out.
 
Mpe basi wewe matibabu mimi nmesemea experience yangu mkuu vipi mzee

Ni hivi; mimi sijakataa experience yako ninachokataa ni ushauri wako kwamba ajikubali na hali hiyo, hii maana yake unamkatisha tamaa asitafute tiba, yakupasa ujue kama mimi au wewe hatujui dawa basi kuna wengine wanajua dawa, mimi ushauri wangu kwake ni kwamba aendelee kutafuta dawa kwani dunia ni vast in medicines and cures, lakini dume kuwa na nyonyo hapana aisee, Mungu ampiganie Amiin.
 
Gynecomastia labda kwako ndo unashangaa sana mimi nmekutana na watu wengi wapo ivo na wamekubaliana na ukae ukijua hayawi matiti kabisa kabisa
 
Mtoa mada matibabu kamili ni kufanya surgical reduction ambayo sidhani kama unafikiria
Kwa non surgical ufanye haya
1 kata weight
2 Avoid vyakula vya mafuta na rich in estrogen
 
Ninakushauri pamoja na mawazo yetu, hebu jaribu kufika hospitali.

Kuna maswali zaidi ambayo yatahitajika uulizwe ili chanzo kijulikane then upate tiba, kwa mfano kama una dawa zozote unazotumia, ongezeko lako la uzito n.k
 
Gynecomastia labda kwako ndo unashangaa sana mimi nmekutana na watu wengi wapo ivo na wamekubaliana na ukae ukijua hayawi matiti kabisa kabisa

Mimi sikatai hicho unachosema kuhusu hiyo Gynaecomastia ila napinga ushauri wako wa kujikubali, ushauri mzuri ni aendelee kutafuta dawa kwani kama Tz hakuna dawa basi hata India, China nk, inaweza ikaweza ikawepo, na hao uliowaona wakiwa katika hali hiyo yawezekana ni hao waliokatishwa tamaa ya kupona na wamejikubali kuwa na nyonyo.

Unataka kuwe na zamu ya kunyonyesha watoto??, what good are breast on man??.

Yawezekana kuna dawa ya ku stimulate production ya Hormone testosterone au wewe kama ni Dr why not find a clue to the problem, hiyo ndio chance yako kuwa Nobel Laureate in Medicine, tusiwaachie wazungu pekee katika mambo haya.
 
nimefatilia sana tiba, sijapata alternative option zaidi ya kufanya surgery ,na yenyewe unakuwa na option watoe yale mafuta au wakatoe na kale ka kitu kanakozarisha hayo mafuta sijui ndio maziwa anyway, sasa mimi nitaenda kukatoa hako ka kitu ndio option pekeee, but kama kuna mtu ana ushauri kwa hapo naomba anipe ushauri
 
Mara nyingi hiyo hali huwatokea vijana wa Kiume wanapofika umri wa balehe.

Hiyo hali huwa inapotea Kwa kuyakamua na kutoka vimaji Maji kama Maziwa. Usipofanya hivyo wanasema huvimba na kufanya mtoto kuwa na Maziwa makubwa kama mdada.

Ngoja wataalamu waje kutoa muongozo
Mkuu ulipokuwa stage hio ya makuzi ulifanya hivyo ulivyoandika? Mimi nakumbuka ilipotea yenyewe tu.
 
nimefatilia sana tiba, sijapata alternative option zaidi ya kufanya surgery ,na yenyewe unakuwa na option watoe yale mafuta au wakatoe na kale ka kitu kanakozarisha hayo mafuta sijui ndio maziwa anyway, sasa mimi nitaenda kukatoa hako ka kitu ndio option pekeee, but kama kuna mtu ana ushauri kwa hapo naomba anipe ushauri
Una umri gani?
 
images-985.jpg
images-986.jpg
 
MIAKA 25 NISHAKIMBIA KWENYE PUBERTY NA ILIANZA KUTOKEA TOKEA CLASS 5 MIAKA 12 MPAKA SASA. nilishayakamua yanarudi tu yenyewe, yanakera kinoma huwezi ukavaa shati la size lazima uoversize na utembee umeinama kama una kibyongo ili watu wasione, huwezi ukakaa kifua wazi in short yanafanya ukose confidence, u
UTakua umekula Sana nyama za kuku za bloiler
 
MIAKA 25 NISHAKIMBIA KWENYE PUBERTY NA ILIANZA KUTOKEA TOKEA CLASS 5 MIAKA 12 MPAKA SASA. nilishayakamua yanarudi tu yenyewe, yanakera kinoma huwezi ukavaa shati la size lazima uoversize na utembee umeinama kama una kibyongo ili watu wasione, huwezi ukakaa kifua wazi in short yanafanya ukose confidence, u
Una urefu na uzito Kia's gan mkuu
 
Back
Top Bottom