Ulivibonda wewe?kusema kweli ugumu upo lakini vimesagika kiasi
Ulivibonda wewe?kusema kweli ugumu upo lakini vimesagika kiasi
mimi mwenyewe bro maana hii ni secret yangu mwenyewe sitaki mtu ajueUlivibonda wewe?
Huwezi ukavibonda mwenyewe vikabondeka. Mtafute unayemwamini avibonde bila huruma vitasagika. Wewe huwezimimi mwenyewe bro maana hii ni secret yangu mwenyewe sitaki mtu ajue
du poa poa ,na ninaona ushauri wako utafanya kazi, no pain no gainHuwezi ukavibonda mwenyewe vikabondeka. Mtafute unayemwamini avibonde bila huruma vitasagika. Wewe huwezi
Akivibonda vinakuwa ni uji na hakuna haja ya kukamua maana vinaisha vyenyewedu poa poa ,na ninaona ushauri wako utafanya kazi, no pain no gain
shukran kwa kunisaidia i hope so soon nitakua poa kwa hii tibaAkivibonda vinakuwa ni uji na hakuna haja ya kukamua maana vinaisha vyenyewe
Bado aiseeVipi mkuu ulisha pona tatizo lako??
poa poa kakaPole mkuu hiyo inshu nahisi homon zitakuwa znachangia tatzo lako pakubwa Huenda hazko balance nikshaur ujarbu kutumia miziz ya mpera na mizizi ya mbaazi ukatekate vdgovdgo alafu uchemshe unywe kama wiki moja hvi kikombe asbuh na jion itawezq kkusaidia jarbu
Use tamoxifen 10mg twice daily for 3 months, raloxifen tabs 30mg once daily for 3 months and clomiphen 5omg utakuja nishukuruBado aisee
izo ni dawa za nini?Use tamoxifen 10mg twice daily for 3 months, raloxifen tabs 30mg once daily for 3 months and clomiphen 5omg utakuja nishukuru
ukiwa fresh utanipa ushuhuda yani kwasababu Mimi mwenyewe siyaelewi yaani nikivaa singlend ohooo ni vidogo ila vinazingua kichizishukran kwa kunisaidia i hope so soon nitakua poa kwa hii tiba
Hizo zinakupa jibu auUse tamoxifen 10mg twice daily for 3 months, raloxifen tabs 30mg once daily for 3 months and clomiphen 5omg utakuja nishukuru
Hizo ni dawa za kupunguza maumivubya kansa ila inavyosemekana vinatibu hilobtatizo. Nilisoma mahaliHizo zinakupa jibu au
Ni kweli,,achague moja kat ya izooo atapata mafanikio,,ndan ya muda mfupi sanaHizo ni dawa za kupunguza maumivubya kansa ila inavyosemekana vinatibu hilobtatizo. Nilisoma mahali
Mzee mzee em tupee yaliyojirinimefatilia sana tiba, sijapata alternative option zaidi ya kufanya surgery ,na yenyewe unakuwa na option watoe yale mafuta au wakatoe na kale ka kitu kanakozarisha hayo mafuta sijui ndio maziwa anyway, sasa mimi nitaenda kukatoa hako ka kitu ndio option pekeee, but kama kuna mtu ana ushauri kwa hapo naomba anipe ushauri