Msaada sina kabisa nguvu za kiume

Tafadhalini sana naombeni msaada wa tiba juu ya nguvu za kiume, umri wangu ni miaka 24 , nimetumia dawa za kisuni na kwa waging ila bado naona tatizo linazidi, kusimamisha tu ni kazi hata asubuhi nikiamka haisimami naombeni sana msaada wenu
Kama unavaa boxers za Polyester wacha haraka sana hio ndio inayo sababisha mpaka kizazi itakatisha . Nunua boxers za cotton zina bei lakini utakuja Ona tafauti yake.
 
Nina muda wa kama miezi sita, ndio najichua ila sio sana , kilo ,angu ni 55 kg
 
Mtu wa ccm,huku unajibu vizuri kabisa na kwa upendo tofauti na kule.
 
Tafadhalini sana naombeni msaada wa tiba juu ya nguvu za kiume, umri wangu ni miaka 24 , nimetumia dawa za kisuni na kwa waging ila bado naona tatizo linazidi, kusimamisha tu ni kazi hata asubuhi nikiamka haisimami naombeni sana msaada wenu
mcheki 0714939103 huyu jamaa alinivusha nyakati ngumu sana.Bei yao ya kawaida,nakumbuka niliwalipa el
 
Mtu wa ccm,huku unajibu vizuri kabisa na kwa upendo tofauti na kule.
gentleman,
zingatia maelezo,
jifunze, chukua ushauri na mapendekezo yanayokufaa na usonge mbele na itapendeza zaidi.

binafsi sina uchoyo wa mawazo mapya wala fikra mbadala katika kila jukwaa ninaloona nafaa kushauri na si vinginevyo πŸ’
 
Mkuu ni kweli ulichosema, ila kule unakuwa mbogo hasa akisemwa Mh raisi
 
Mkuu ni kweli ulichosema, ila kule unakuwa mbogo hasa akisemwa Mh raisi
Gentleman,
mimi si mbogo wala nyumbu dhidi ya mdau yeyote yule wa Jf, kuhusu jambo lolote lile jukwaani, huenda makosa yangu ni kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu, ambayo wengi hawapendi kuona yakielezwa.

na ikiwa ni hivyo,
ninaomba msamaha in advance, kwasababu kwa Neema na Baraka za Mungu, nitaendelea kueleza ukweli mtupu jukwaani kwenye mambo ya msingi tu πŸ’
 
Nasema mbogo kwa kile ninachokitafsiri kama majibu ya nyodo,ila Kuna kitu nakipenda kutoka kwako na mwashambwa,licha ya matusi na kejeli mnazoshushiwa,sijasikia mkirudisha matusi.
 
Mkuu Tlaatlaah nimekuona pm kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…