Ngalikivembu
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 1,959
- 876
Kumbe mpira wenu ni suluhu. Malizeni tu maana dakika zimeisha. Hakuna nyongeza hapoYeye kashachoka hataki hata kunisemesha

Ntakupatia ya Kim Jong Un
Inawezekana una hisia za kikeHabari za Leo,
Mimi ni kijana miaka 29 niko katika mahusiano mwaka wa 3 huu mahusiano yangu yapo tu lakini sina zile hamu za mapenzi sham sham.
Nahisi sina hisia kwa sababu huyu mwenzangu nilie nae nakaa nae tu lakini akilini simu wazi wala ion tamaa kabisa kuhusu yeye.
Nisaidieni maana nahisi napoteza muda kwa huyu mwenzangu maana muda ni maisha.
Asante.
Ujue hizi tabia za kishenzi za wanaume ndo mnasababisha vidonda visivyopoa na visasi endelevu 3 yrs unampotezea mda wake imagine baada ya ww akikutana na mwanaume yupo real atamuamini kwelisio hivo.
mimi nilikua nae nikijua nitampenda zaid tukiwa pamoja lakin haitokei kila siku ndio natafuta namna ya kumwambia kuwa sina hamu mapenzi
Hata mimi nimesoma anavojibu nimemgundua kabisabila shaka jinsia yako ndiyo inayokuvutia....come out of the closet!!
Sasa kama huna hisia na mwanamke unamaanisha nini si ina maana una hisia kama za kwakeDuh mawazo gani hayo sasa.
Soma kwa niyemquote utajuaUmegundua nini na ushaur wako ni up
Jibu maswali haya kwanzaHabari za Leo,
Mimi ni kijana miaka 29 niko katika mahusiano mwaka wa 3 huu mahusiano yangu yapo tu lakini sina zile hamu za mapenzi sham sham.
Nahisi sina hisia kwa sababu huyu mwenzangu nilie nae nakaa nae tu lakini akilini simu wazi wala ion tamaa kabisa kuhusu yeye.
Nisaidieni maana nahisi napoteza muda kwa huyu mwenzangu maana muda ni maisha.
Asante.
Wakati unamtongoza ulitushilikisha labda?Habari za Leo,
Mimi ni kijana miaka 29 niko katika mahusiano mwaka wa 3 huu mahusiano yangu yapo tu lakini sina zile hamu za mapenzi sham sham.
Nahisi sina hisia kwa sababu huyu mwenzangu nilie nae nakaa nae tu lakini akilini simu wazi wala ion tamaa kabisa kuhusu yeye.
Nisaidieni maana nahisi napoteza muda kwa huyu mwenzangu maana muda ni maisha.
Asante.
M45 jibu hilo hapobila shaka jinsia yako ndiyo inayokuvutia....come out of the closet!!