Msaada: Sina hisia na huyu mwenza wangu

Msaada: Sina hisia na huyu mwenza wangu

mbona unazunguka sana mkuu, kifupi ni kwamba humpendi na umeona chick(s) mwenye sifa za ziada kumzidi...... We mchane tu kiupole ili kama vipi muachane, au kama huwezi fanya hivyo, basi mpadilishe awe vile unavyopenda wewe
 
amenyamaza hakusemeshi kwani ameshakuona wewe ni mtu wa namna gani.
Unajua kuna watu dizaini yako duniani, watu wa kuchoka au kuvichoka vitu. Ebu jitathimini, je ni kwa huyo tu unaeishi naye au hiyo tabia yako iko hata kwenye mambo au vitu fulani au kwa watu. kwamba baada ya muda unakuwa fedup na situation/state au watu. Then kama hivyo ndivyo ujue una tatizo.
Na pengine ni mtu ambaye unapenda kuishi maisha yako peke yako akiwepo mwingine unaona anakubana. Nafikiri hata huyo mwenzako kakuvumilia sana na kashachoka. kwa nionavyo mimi hiyo ndiyo tabia yako na hutaweza kumpata mtu ukampenda na kumfurahia . Na usijidanganye kuwa ni hali ambayo imekutokea kwa huyo mmoja...ukiangalia trend yako utajijibu vizuri. Ipo siku utajua ni kwa jinsi gani huyo uliyenaye sasa kakuvumilia.
Cha kufanya kama umeshajua tatizo ni hatua nzuri sasa kwa dini yako muombe Mungu abadilishe tabia yako , pamoja na kufanya jitihada binafsi, ya kujifunza kupenda
Sioni tatizo kuishi naye tatizo ni kwamba sina hamuya mapenzi kabisa na hili nilikua nalijua hata kabla nikasema labda nikiwa naye hamu itakuja lakini matokeo yakawa haya
 
Ni kwasababu tu umemzoea, anza mazoez ya kuiambia akili yako kwamba unampenda na ni wa thamani na jaribu kuwa unafikiria sana mazuri yake aliyokufanyia kwa kipindi hicho cha miaka 3. Na pia anza kuwaza zile sehemu zake ambazo kwa kawaida huwa zinakuvutia/ zilizokuvutia mwanzo. (Macho, figure, miguu etc). Ukiweza kufanya hivi taratibu hisia zako zitarudia kama zamani na uta-enjoy kuwa naye.
 
Mgawie rafiki yako au hata jamaa yako wa karibu ambaye ana hisia!
 
Habari za Leo,

Mimi ni kijana miaka 29 niko katika mahusiano mwaka wa 3 huu mahusiano yangu yapo tu lakini sina zile hamu za mapenzi sham sham.

Nahisi sina hisia kwa sababu huyu mwenzangu nilie nae nakaa nae tu lakini akilini simu wazi wala ion tamaa kabisa kuhusu yeye.

Nisaidieni maana nahisi napoteza muda kwa huyu mwenzangu maana muda ni maisha.

Asante.
Umemtumia amekongoroka ndio unataka kumtupia nani? Endelea naye tu miaka 3 mchezo
 
Ni kwasababu tu umemzoea, anza mazoez ya kuiambia akili yako kwamba unampenda na ni wa thamani na jaribu kuwa unafikiria sana mazuri yake aliyokufanyia kwa kipindi hicho cha miaka 3. Na pia anza kuwaza zile sehemu zake ambazo kwa kawaida huwa zinakuvutia/ zilizokuvutia mwanzo. (Macho, figure, miguu etc). Ukiweza kufanya hivi taratibu hisia zako zitarudia kama zamani na uta-enjoy kuwa naye.
Ngumu sana sababu nilijua mapenzi au mahusiano ni kufanya mapenzi basi kumbe ni zaidi ya hapo. kwa mfano anaweza kuniomba tufanye romance kwa sababu anasema ni tamu lakin mimi sisikii huo utamu anadai kuwa upo nachoka kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom