70k weekly ndio nini mkuu?Nilijua mtoto kumbe age mate wangu. Mmezoeana, mnaishi ili mradi, hamfanyi vitu vya kuwafanya muonane wapya, mnavaa kama mmepewa talaka kijijini, kuna watu unamfananisha naye,
Shetani kakupitia ili kipindi hiki unamchukia uone hakufai utafute mtu mwingine na sijui kama 70k weekly unayo.
Hata hicho nilichoandika ni ushauri pia ambao upo katika mfumo wa swali. Au hujaelewa??Hili ni Jukwaa la Ushaur wa Mahusiano namengine mengi, kama Huna unachoweza kushauri kaa kimya,
Muulize Simba mkuu[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]70k weekly ndio nini mkuu?
labda kwa upande wako lakini katika uhalisia huo sio ushaur bali ni kejeli.Hata hicho nilichoandika ni ushauri pia ambao upo katika mfumo wa swali. Au hujaelewa??
Aiseee hatariInawezekana je labda!
Eeeeeeh naona sasa unanipa ushauri Mimi badala ya Mimi nikushauri wewe, basi poalabda kwa upande wako lakini katika uhalisia huo sio ushaur bali ni kejeli.
kwa mfano umeenda kwa daktar ukiwa unajua unaugua ugonjwa fulan je huyo daktar ataanza kukuambia mbona ulipokua mzima hujaja?
hata ukipewa ushauri hapa sidhani kama utakuwa msaada sana zaidi ya kumueleza ukweli, ukishindwa kabisa kuna wana-jf ambao huwa wanaomba namba ya mhusika wako ili wakuwekee mambo sawa.sitaweza kumwambia kwa sababu sjui napenda nini hasa,
Ooohh okayUswahili umekuzidi