kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,504
- 4,354
Habari za leo.
Niko na hali mbaya kiuchumi,na msaada pekee ninaouona ni mchepuko wangu ndio naona anaweza kunipiga tafu,huyu maza alikua mke wa mtu akaachika so mimi nikawa najipigia kimyakimya,yeye binafsi hajawahi kuniomba pesa ila mara kadhaa nikiwa vizuri huwa namtoa tunapiga bia namuachia 50k au 30k inategemea na siku husika ntavyokua.
Sasa leo mimi niko hovyo, sina hata mia mbovu mfukoni. Nimechekecha akili nikapata wazo nimuambie huyu mchepuko wangu anikopeshe kiasi flani cha fedha then nikikaa sawa ntamlipa.
So wakuu,hapa nikimuomba anikopeshe ntakua najidhalilisha au atanichukuliaje.