Msaada: Sina hisia na huyu mwenza wangu

Msaada: Sina hisia na huyu mwenza wangu

Mwambie ukweli ili aamue ashike kipi. Don't be selfish
 
Habari za Leo.
Mimi ni Kijana miaka 29 niko ktk mahusiano mwaka wa 3 huu.

Mahusiano yangu yapo tu lakini sina zile hamu za mapenzi sham sham
nahisi sina hisia kwa sababu huyu mwenzangu nilie nae nakaa nae tu lakini akilini simuwaz wala Sion tamaa kabisa kuhusu yeye,

Nisaidieni maana nahisi napoteza muda kwa huyu mwenzangu maana muda ni maisha.
Asante.
Pass.

Award LOVE Degree
 
Mwambie aumie lakini atakua amejua ukweli usiendelee kumpotezea mda
 
Ushamgegeda vya kutosha ndiyo unaona hafai
 
yaani baada ya kukitumia kitumbua chake kwa miaka 3.... sasa hivi ndio umeona ni muda mwafaka wa kutokua na hisia vijana mna tabu sana....
sio hivo.
mimi nilikua nae nikijua nitampenda zaid tukiwa pamoja lakin haitokei kila siku ndio natafuta namna ya kumwambia kuwa sina hamu mapenzi
Aiseeeeh!!! Huna hamu na mwanamke wako na umeishi nae miaka 3?? Utakua umelogwa sio bure!!!
 
oook...kwa hio imekuchukua miaka 3 kujua huna hisia nae tena kivile...je yeye mwenzio unavyomtazama anahisia na mapenzi yale yale tangu unamfahamu...
Yeye kashachoka hataki hata kunisemesha
 
Yeye kashachoka hataki hata kunisemesha
amenyamaza hakusemeshi kwani ameshakuona wewe ni mtu wa namna gani.
Unajua kuna watu dizaini yako duniani, watu wa kuchoka au kuvichoka vitu. Ebu jitathimini, je ni kwa huyo tu unaeishi naye au hiyo tabia yako iko hata kwenye mambo au vitu fulani au kwa watu. kwamba baada ya muda unakuwa fedup na situation/state au watu. Then kama hivyo ndivyo ujue una tatizo.
Na pengine ni mtu ambaye unapenda kuishi maisha yako peke yako akiwepo mwingine unaona anakubana. Nafikiri hata huyo mwenzako kakuvumilia sana na kashachoka. kwa nionavyo mimi hiyo ndiyo tabia yako na hutaweza kumpata mtu ukampenda na kumfurahia . Na usijidanganye kuwa ni hali ambayo imekutokea kwa huyo mmoja...ukiangalia trend yako utajijibu vizuri. Ipo siku utajua ni kwa jinsi gani huyo uliyenaye sasa kakuvumilia.
Cha kufanya kama umeshajua tatizo ni hatua nzuri sasa kwa dini yako muombe Mungu abadilishe tabia yako , pamoja na kufanya jitihada binafsi, ya kujifunza kupenda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom