Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,280
- 44,416
chief-mkwawa asante ndo nafanyia kazi ushauri ila wa kwanza imebidi nicheke kumbe techo haina lolote ilikuwa bwebwe tu za kibiashara
hapa tatizo ni phone memory zipo tecno za 4gb japo pia ni ndogo simu inatakiwa atleast ianze na 8gb ndio unaenjoy.
kama umependa muonekano wa software , whatsapp, viber na vyengine unaweza kuvipata kwenye android yoyote sio tecno tu
Last edited by a moderator: