p3 ipo poa sana nashusha movie nane kwa usiku mmoja toka torrent alafu nahamishia kwenye pc raha mustarehe sina haja ya kudownload kupitia pc..!!! p3 ni phone nzuri tu ina applictan ninazohitaji na zingin na download..very nice phone..

Kaka Triple G duh movie 8 za size gani? kwa ram ya 512mb? Processor ya 800Mhz, hhhha kaka bado sana. Labda zile za MB 300 aisee.