Msaada simu yangu inaniandikia hivi "Can not generate thumbnails"

Mo pal-mo

Senior Member
Jan 16, 2021
176
243
habari wana jf,

Natumaini mu wazima!! nilifanya factory reset kwenye simu yangu, lakini kabla ya kufanya hivyo nilihamisha mafaili mbalimbali kutoka internal storage na kuyaweka kwenye SD card.

Kweli nikafanikiwa lakin baada ya kufanya factory rest , miziki inacheza vizuri tuu, ila sema changamoto hasa ipo upande wa picha "photos" yaan nikibofya kunakuwa na weusi afu naandikiwa kuwa " can not generate thumbnails, naombeni msaada/ushauri wa kurudisha picha zangu kwa anaefahamu.

Ahsanten
 
Picha zipo huo weusi unauona ni ndio thumbnail yenyewe.

Unapoview picha kwenye gallery vile vibox vidogo vidogo unavyopreview picha sio picha zenyewe bali ni thumbnail. Unapoclick thumbanail ndio unaview picha kwa ukubwa.

Sasa hapo imeshindwa kutengeneza Thumbnail pengine haina permission fulani hizi za storage.

1. Temporary solution nenda file manager nenda sd card na jaribu kubrowse picha kupitia file manager.

2. Permanent solution jaribu kutafuta namna yoyote kwenye Gallery ubrowse external sd ili ikuombe ruhusa ya ku access sd card. Alternative jaribu kwenda setting kisha apps kisha gallery angalia kama kuna permission gallery yako imenyimwa.
 
ahsante ngoja nijaribu
 
Back
Top Bottom