Simu ina Memory mbili kuna internal ambayo ndiyo inatumika ku run critical applications na external in this case hiyo SD card. Chakufanya ni kuwa zile applications ambazo huzitumii mara kwa mara zi move kwenye SD card, kama ni android nenda kwenye settings, apps, then chagua app unayoitaka chini kulia utaona move to storage. Inayojaaa mapema ni internal ambayo ndiyo iko faster kuliko external.
Angalia pia RAM kama hiyo haitoshi. Huenda simu inamaanisha ram inaisha. Kwa msingi huo disable applications zinazowaka ukiwasha tu simu. Usizifute ila uziweke kwenye sleep mode na avoid kufungua mavitu mengiiiii kwa wakati mmoja. Mfano utakuta mtu ana Whatsapp, Viber, Skype, Tango nk vyote kwa wakati mmoja. viko installed. Fungua whatsapp pekee na mtu akikutumia msg labda kwenye whatsapp kuwa muongeee then unawasha viber au skype e.t.c
I guess you get my drift.......................