Ukiamua kuoa,usimfanye mkeo awe kama mtumwa kwako, muache akimisi kutoka nje atoke,ila akulindie heshima.Ndoa nyingi zina matatizo,ila hayaanikwi wazi.Oa tu na ukubaliane na yote yaliyomo.Wajomba!
Ambao hatujaingia kwenye ndoa please jitafakari mara 10 kabla hujavaa pete na kusaini vyeti uchwara.
Nimeathirika na tukio 1 ambalo kiukweli nimejitahidi sana kulitoa akilini ila mara zote nikikumbuka tu ni kama limetokea jana.
Ipo hivi mwaka flan hapo nyuma nilikuwa na mwanamke niliyempatia promises zote za ndoa na kumuamini na kumtengeneza kuwa mke wa maisha yangu na familia yangu.
Najua kosa langu lilikuwa ni kumuaminisha kuwa yeye ndio chaguo langu pekee na hakuna mwingine, kifupi nilimpa uhakika wa ndoa na niliwekeza kwake, kosa la pili.
Alijiweka sawa kwenye mahusiano na mara zote alikuwa clean na msiri sana, kila kitu alikipqngilia vilivyo hadi pale nilipomkamata anacheat na jamaa mwingine na bahati mbaya au nzuri nilianza kuona viashiria ila nikajipa muda na kumuacha wenda atajirekebisha, "kosa la tatu hilo."
Mwanamke alicheat hadi akapata mimba na kibaya rafiki yake ambaye alikuwa naye muda wote walifanya mpango akatoa ile mimba na wakati huo nilikuwa safarini kikazi basi alinidanganya kuwa anaumwa sana malaria,Amiba na mengine basi nikatuma pesa ya matibabu akaendelea kupona taratibu.
NILIMKAMATA VIPI?
wajomba, kuna siku simu yake iphone ilianguka chini ikazima ghafla nikiwa naye basi nikaipeleka kwa fundi kutengeneza, hakuwa na mashaka sababu kila kitu ameficha na sms zote huwa anafuta, simu iliwaka nikatoa lock then nikawa nacheki vitu normal tu hadi nilipoenda kwenye sms, sikuona kitu cha maana sana pale maana sms zilikuwa nyingi ila hazikuwa zikionesha mashaka.
Wakati naenda home nikapata wazo nipitie sms za rafiki yake ambaye yupo naye muda wote na wanaitana "Girlfriend" wakuu humo ndio nilikuta uchafu mwingi sana wakipeana details za mwana kuja kumkamia demu wangu kisha wampe muda jamaa then aje amkamue yule manzi mwingine...wakuu mimba ikaingia wakamuambia jamaa kisha wakaenda kuitoa kisiri sana bila mimi kujua.
Wajomba nilikuwa naendesha gari na AC kali sana ila nilijisi joto moja la hatari sana nikapaki pembeni kufikiria cha kufanya, wakuu nilifika kwangu nikampatia simu nikiwa normal tu sikuwa na shida ila siku hiyo nililala kama mpumbavu.
Kufupisha story.
Nilimkaushia sikumuambia lolote siku ile, nikasubiriq siku nimemtoa kwenda beach pahali ndio nikamuomba anieleze nini kilimfanya anifanyie ukatili ule, alilia sana akiomba msamaha, alichanganyikiwa pale kila mtu aliona kelele tu mwanamke akilia kama kuna msiba, haikuwa rahisi mimi kumbembeleza nilimuacha hadi akatulia mwenyew, nilimchukua tukarudi home akiwa hajielew na full misamaha, nikienda kazini simu zinakuwa nyingi sana za misamaha na kujutia alichofanya.
Nikampatia nafasi amrudie yule jamaa wakafanye zaidi kwa uhuru nisiwasumbue kwa namna yoyote ile.
Majuzi nimejipatia mwanamke kutoka kwa family friend na kila kitu kinaenda sawa na ni mwanamke msafi na poa sana ila nikikumbuka yale matukio basi moyo wangu unakuwa mgumu sana kukubali masuala ya ndoa, nashindwa nini cha kufanya yaani kifupi sijui hatima yangu mbele kwenye masuala ya ndoa itakuwaje na sielew nifanye nini wajomba naombeni ushauri.
NAOMBA USHAURI NINI NIFANYE ILI NIPONE WAKUU NATESEKA SANA. 🙏🙏
Mwanamke akileta upuuzi una kuathiri, piga chini. Ila tukio la mjinga mmoja lisikufanye usitishe yaliyo mbeleni mwakoHii changamoto unataka kunishauri vipi? Kwamba nilipaswa kumuacha na kuendelea kuishi naye?
Mkuu tia mimba demu wako mzae watoto, lakini hakikisha anajua kuwa akizingua ukajua ndo mwisho. Weka misimamo yako wazi ya maisha aifahamuWajomba!
Ambao hatujaingia kwenye ndoa please jitafakari mara 10 kabla hujavaa pete na kusaini vyeti uchwara.
Nimeathirika na tukio 1 ambalo kiukweli nimejitahidi sana kulitoa akilini ila mara zote nikikumbuka tu ni kama limetokea jana.
Ipo hivi mwaka fulani hapo nyuma nilikuwa na mwanamke niliyempatia promises zote za ndoa na kumuamini na kumtengeneza kuwa mke wa maisha yangu na familia yangu.
Najua kosa langu lilikuwa ni kumuaminisha kuwa yeye ndio chaguo langu pekee na hakuna mwingine, kifupi nilimpa uhakika wa ndoa na niliwekeza kwake, kosa la pili.
Alijiweka sawa kwenye mahusiano na mara zote alikuwa clean na msiri sana, kila kitu alikipangilia vilivyo hadi pale nilipomkamata anacheat na jamaa mwingine na bahati mbaya au nzuri nilianza kuona viashiria ila nikajipa muda na kumuacha wenda atajirekebisha, "kosa la tatu hilo."
Mwanamke alicheat hadi akapata mimba na kibaya rafiki yake ambaye alikuwa naye muda wote walifanya mpango akatoa ile mimba na wakati huo nilikuwa safarini kikazi basi alinidanganya kuwa anaumwa sana malaria,Amiba na mengine basi nikatuma pesa ya matibabu akaendelea kupona taratibu.
NILIMKAMATA VIPI?
wajomba, kuna siku simu yake iphone ilianguka chini ikazima ghafla nikiwa naye basi nikaipeleka kwa fundi kutengeneza, hakuwa na mashaka sababu kila kitu ameficha na sms zote huwa anafuta, simu iliwaka nikatoa lock then nikawa nacheki vitu normal tu hadi nilipoenda kwenye sms, sikuona kitu cha maana sana pale maana sms zilikuwa nyingi ila hazikuwa zikionesha mashaka.
Wakati naenda home nikapata wazo nipitie sms za rafiki yake ambaye yupo naye muda wote na wanaitana "Girlfriend" wakuu humo ndio nilikuta uchafu mwingi sana wakipeana details za mwana kuja kumkamia demu wangu kisha wampe muda jamaa then aje amkamue yule manzi mwingine...wakuu mimba ikaingia wakamuambia jamaa kisha wakaenda kuitoa kisiri sana bila mimi kujua.
Wajomba nilikuwa naendesha gari na AC kali sana ila nilijisi joto moja la hatari sana nikapaki pembeni kufikiria cha kufanya, wakuu nilifika kwangu nikampatia simu nikiwa normal tu sikuwa na shida ila siku hiyo nililala kama mpumbavu.
Kufupisha story.
Nilimkaushia sikumuambia lolote siku ile, nikasubiriq siku nimemtoa kwenda beach pahali ndio nikamuomba anieleze nini kilimfanya anifanyie ukatili ule, alilia sana akiomba msamaha, alichanganyikiwa pale kila mtu aliona kelele tu mwanamke akilia kama kuna msiba, haikuwa rahisi mimi kumbembeleza nilimuacha hadi akatulia mwenyew, nilimchukua tukarudi home akiwa hajielew na full misamaha, nikienda kazini simu zinakuwa nyingi sana za misamaha na kujutia alichofanya.
Nikampatia nafasi amrudie yule jamaa wakafanye zaidi kwa uhuru nisiwasumbue kwa namna yoyote ile.
Majuzi nimejipatia mwanamke kutoka kwa family friend na kila kitu kinaenda sawa na ni mwanamke msafi na poa sana ila nikikumbuka yale matukio basi moyo wangu unakuwa mgumu sana kukubali masuala ya ndoa, nashindwa nini cha kufanya yaani kifupi sijui hatima yangu mbele kwenye masuala ya ndoa itakuwaje na sielew nifanye nini wajomba naombeni ushauri.
NAOMBA USHAURI NINI NIFANYE ILI NIPONE WAKUU NATESEKA SANA. 🙏🙏
Mjomba unataka kusema wewe mkeo akitoa nje kupigwa pasi unaliacha suala hilo kisa ndoa? Mkuu au sijakuelewa?Ukiamua kuoa,usimfanye mkeo awe kama mtumwa kwako, muache akimisi kutoka nje atoke,ila akulindie heshima.Ndoa nyingi zina matatizo,ila hayaanikwi wazi.Oa tu na ukubaliane na yote yaliyomo.
Ulisimp Sana kwa Yule demu wa kwanza.
Watu kama haoa ukimkuta anakucheat unapiga chini mara moja
Simp ni aina gani ya pipoKumbe kina Simp mpo huku 😁
Niggaz who pleases bitchez in every possible waySimp ni aina gani ya pipo
Mimi binafsi usiniulize hilo swali,ni gumu sana kulijibu,ila jua kwenye ndoa kunakuchitiana sana na baadhi ya watu wanakuta uthibitisho kama wewe,baadhi yao wanavumilia.Simu yako na simu ya huyo mkeo,inaonyesha uhalisia kwa asilimia 75 wa nini unakifanya au anakifanyaga.Yeap ndio nilifanya chap ila akili inanisaliti kubabake
Mjomba unataka kusema wewe mkeo akitoa nje kupigwa pasi unaliacha suala hilo kisa ndoa? Mkuu au sijakuelewa?
Okay ila jamaa alimmwaga mwana dada kule beach😀Niggaz who pleases bitchez in every possible way
Sasa si bora usioe tu. Yaani wewe unamlisha, unamvesha, jamii nzima inaamini ni mkeo ila akijisikia kukipeleka akipeleke tu.Ukiamua kuoa,usimfanye mkeo awe kama mtumwa kwako, muache akimisi kutoka nje atoke,ila akulindie heshima.Ndoa nyingi zina matatizo,ila hayaanikwi wazi.Oa tu na ukubaliane na yote yaliyomo.
Huo ndio upumbavu.Ukiamua kuoa,usimfanye mkeo awe kama mtumwa kwako, muache akimisi kutoka nje atoke,ila akulindie heshima.Ndoa nyingi zina matatizo,ila hayaanikwi wazi.Oa tu na ukubaliane na yote yaliyomo.
Mjomba unataka kusema wewe mkeo akitoa nje hunaUkiamua kuoa,usimfanye mkeo awe kama mtumwa kwako, muache akimisi kutoka nje atoke,ila akulindie heshima.Ndoa nyingi zina matatizo,ila hayaanikwi wazi.Oa tu na ukubaliane na yote yaliyomo.
HakikaUlisimp Sana kwa Yule demu wa kwanza.
Watu kama haoa ukimkuta anakucheat unapiga chini mara moja
Hakika mjomba nimekuelewaMimi binafsi usiniulize hilo swali,ni gumu sana kulijibu,ila jua kwenye ndoa kunakuchitiana sana na baadhi ya watu wanakuta uthibitisho kama wewe,baadhi yao wanavumilia.Simu yako na simu ya huyo mkeo,inaonyesha uhalisia kwa asilimia 75 wa nini unakifanya au anakifanyaga.