Masanyiwa Mabula
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 954
- 983
Huu upumbafu mke wangu hana, na ni mstaarabu km mm. Kwanza hayo maupumbafu huwa hatutaki hata kusikia. Na tuna mtoto mmoja sasa wa kiume.Ombea mkeo asiwe amewah kufanyiwa huo unaouita upumbavu vingnevyo lazma kuna kitu ataona anamiss na hapohapo mawazo ya yuda yataanza kumnyemelea tartiiiib
Mkuu kwa akili zako unaramba K kbsa? Hakuna sehemu chafu km sehemu za siri. Hiv ushajiuliza kwann mkojo au damu za hedhi zinapita kweny K kwan isiwe sehemu nyingine? Binadamu kwa kugeuza matumiz bwana eti unaramba K au M ww utakuwa umerogwa. Ndiyo maana mnalia lia mapenz sana siku hiz oh siku hiz hakuna mapenz.
Mkuu atakupendaje wakati unatabia za ukahaba? Penz atakalopata kwa kahaba ndilo analopata kwako sasa hapo kuna upendo? Mapenz usafi mkuu. Hiyo ya kulambana ni wapuuz tu ndiyo wanafanya