Msaada; Penzi linakaribia mwisho sababu nimegoma kuzama chumvini

Msaada; Penzi linakaribia mwisho sababu nimegoma kuzama chumvini

Haya mambo ya kulamba chumvin nishayakataa siku nyingi sana. Huu ni upuuz na ni uchafu wa hali juu.
Mambo yanayosabbisha hata mapenz hayadumu ni pamoja na huu uchafu. Ukiwa unafanya huu uchafu kuna roho inakuingia na ule upendo wa dhat unatoweka. Yaan ukiwa unafanya hayo mambo kila mwanamke utamuona mzuri na usaliti ndiyo unaanzia hapo
HUU UPUMBAFU WATAFANYA WAPUMBAFU ILA SIYO MM. Huu ni ujinga kbsa yaan mmm Mabula nilambe kojoleo lako? Utaanzaje kwanza?
MKUU ACHA UJINGA USIFANYE KITU USICHOKIPENDA KISA MAPENZI. Wanawake wana magonjwa mengi sana UTI, N.K hayo madamu ya hedhi ww unalamba tu, mikojo. Ushajiuliza kwann wanawake huwa wanaugua ugua sana? Tafakari SIKU UKIPATA KANSA YA KOO NDIYO UTAJUA UMUHIMU WA AFYA
Hiyo moja, pili huko ni kufanya mapenzi kinyume cha maumbile , vilivyoumbwa kuingiliana ni dushe na papuchi tu na midomo tuiachie ifanye kazi iliyoumbiwa.
 
Wakuu
Nimedumu na mpenzi wangu mpya huyu ambaye nampenda sana yapata sasa ni mwezi wa tatu nipo katika huba nzito!

Siku za hivi karibuni amekuwa akihitaji nichukue kinywa changu kupitia ulimi nilambe sehemu ya kikojoleo chake
Hii imenipa ugumu sana kwani siwezi na wala sitaki kujaribu kwenda huko Uvinza

Nimemwambia kabisa hayo anayotaka siwezi kumfanyia licha ya yeye kufanya hivyo kwangu kila tunapokutana

Baada ya mgomo huu, sasa naona kanuna na hali imekuwa tofauti kabadilika kabisa kwani ananilazimisha na mimi sitaki kwani raha kwa kawaida na analizika kabisa sasa sijui anataka niende chumvini nikafanye nini

Wanajamvi naombeni ushauri, namrudisha vipi kwenye line baby wangu huyu niendelee kufaidi dunia pasipo kuzama chumvini
Usiseme anaridhika bado kuridhika kwake mpaka anyonywe kimende.
Hata mwanamke ambaye hajawahi nyonywa huko akifanyiwa harudii tena kwingine. Hapo ndiyo ujuwe wa zamani alimnyonya ila wewe hutaki wenzako wanapiga deki na ulimi nyuma na mbele wee hapo uvinza tu unashindwa.
In short zoezi hilo linaendana na usafi wa mwanamke akiwa msafi ni sawa na kunyonya ziwa lake tu haina shida.
Mnyonye mwenzako acha maneno maneno ili naye aridhike.
 
Imagine unakutana na Chronic UTI huko au Chlymedia .. Kansa ya koo nje nje
Kansa hata kwenye nyonyo unaweza kutana nayo. Msilete visingizio wapeni wenzenu raha ndiyo maana lile tukio mnafichama ili mtu asiwaone wewe pinduka weka miguu 90 degrees mwenzako afurahie hilo tundu ulozawadiwa na Mungu.
Kwanza hayo si ya kuleta hapa ulitakiwa uje ukiwa umetekeleza.
 
Kansa hata kwenye nyonyo unaweza kutana nayo. Msilete visingizio wapeni wenzenu raha ndiyo maana lile tukio mnafichama ili mtu asiwaone wewe pinduka weka miguu 90 degrees mwenzako afurahie hilo tundu ulozawadiwa na Mungu.
Kwanza hayo si ya kuleta hapa ulitakiwa uje ukiwa umetekeleza.
Kwann ufanye kitu ambacho unaona kabisa ni risk mkuu
 
Mkafanye sexual health screening kwanza kuna gonorrhoea, chlamydia, herpes and so on. Kama yuko tayari mwende hospitali akachukuliwe vaginal swabs, majibu yakiwa fresh mwambie uko tayari.
naomba somo la HERPES NINI HIYO PAMOJA NA TIBA YAKE
 
Don't try that shit.N risky coz unaweza kupata magonjwa.Biologically,ku****ma inavimelea ambavyo ukiwa navyo kinywan unaweza kupata magonjwa. Mim kuna mmoja nilimkatalia coz bora lawama kuliko fedheha
 
Acha kitu hiyo boss n hatar.Maku n chafu sana boss.Ingiza dushele lako tu sio kulamba its too dangerous for ur own health
Mim nina jamaa amepata throat cancer aisee anapata shida sana hasa kwenye kula.Jaman business hii mbaya muwe mnapita hata youtube muangalie athari zake.
Business nyingine hii ya kufilana n mbaya wakuu na athar yake huwa clear to others n aibu sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom