Msaada; Penzi linakaribia mwisho sababu nimegoma kuzama chumvini

Msaada; Penzi linakaribia mwisho sababu nimegoma kuzama chumvini

au uskute wewe unamlazmisha mwenzako a suck halar ww unamkazia, km n hivyo ww unatafta kutekwa
Yeye kwangu anafanya kwa kupenda kwake wala siwezi mkataza wala kumlazimisha
 
Mambo ya vijana mcharuko hayo, kama huwezi bora ukae kando utafute utayeendana nae, hiyo raha keshaonja mahali na anajua utamu wake, usipomtimizia hata ukiendelea baki nae kuna wenzio watakusaidia piga dekio la uhakika....
Teh teh teh teh ushauri mwingine bhanaaaa[emoji125] [emoji124] napita tuuu
 
Maji ushayavulia nguo shart uyaoge...............chimba chumvi kijana , hujui ni madini hayo mkuu....ila mgodi nao shart uwe katka mazingira safi....otherwise domo litakuwa ka unakunywa gongo namba one,,,,,,,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom