Kama ni CRDB(ninayojua) nenda katika tawi lako na omba kibali cha kulipa zaidi ya Million 5.Mkuu hapa kuna kitu umesema nimepata somo, Shukrani sana aisee, Mfano mimi nataka nilipe mzigo wa thamani ya 20M za kitanzania at once, Bank ipi inayoweza nisaidia kulipa Whole at once sababu most banks they limit 5M nadhani, lakini pia