Msaada Njia nzuri kumlipa Supplier China

Je yeye supplier ametaka umlipe kwa njia Gani?
Kwa Alipay au WeChat pay wacheki Dr cargo wako faster sana. Watakusaidia kufanya payment
 
Attachments

  • Screenshot_20260417-205256.jpg
    Screenshot_20260417-205256.jpg
    174.9 KB · Views: 14
Inategemea huyo supplier mmekutana kwe y

Mkuu shipper wote wa Kibongo wanatoa hio huduma. Kama hao hawatoi achana nao. Tafuta shipper anaetoa hio huduma. Shipper ataealipa hao na atapokea mzigo kwenye warehouse yake.
Best idea kwa kigezo cha kupeleka mzigo kwao itakuwa reasonable sana, asante sana Brother
 
Wakati mwingine mtoe ushauri kulingana na experience
Aliekwambia nimetoa ushauri bila experience nani? Nanunua vitu from China kila mwezi na ninatumia shopper kulipa supplier. Wewe toa ushauri wako acha kujifanya unajua kila mtu anafanya nini.
 
Unapodanganya ni muhali kurekebishwa. Yeye anatafuta assurance na forwarder yupi anatoa financial assurance zaidi ya akina Alibaba!
 
Wewe una kichaa? Nimedanganyq wapi? Unalazimisha kila mtu afanye unachoamini wewe? Acha ujuaji watu wanatumia shipper kulipa supplier miaka na miaka. Acha ujuaji.
 
issue si kulipa maana hata GSM atalipa ila mtoa mada alitaka kupata financial assurance ambayo huwezi ipata free. Matusi ni dalili za ukosefu wa ukomavu kiakili.
 
Kwahio unafikiri hao GSM au shipper wengine wanalipa tu hawatumii njia salama? Njia kuu ni TT ambayo ni wazi imemshinda. Njia rahisi na salama iliobaki ndio hio kutumia shipper. Anyway wewe toa ushauri wako acha kujifanya msemaji wa thread.
 
Naomba nikueleze, challenge kubwa katika uagizaji wa mizigo toka China, ni uaminifu wa Wachina. Wachina wengi ni matapeli. Ukilipa pesa kwa Supplier, kuna mawili, kupata bila shida yoyote (utapeli) au kutapeliwa kwa njia yoyote ile, iwe kwa bidhaa feki au kuzungushwa.

Ilishanitokea mpaka mchina akakataa kusafirisha mizigo yangu kwa kutumia Silent Ocean akadai lazima forwarder awe ni Mchina etc. Ilibidi niwe mdogo kama piliton na kuwa mpole, kiasi kila alilotaka, nilikubaliana naye ingawa mzigo ulitumia mwaka na zaidi kufika badarini Dar. Napo TRA!!!!!!

Njia ya kuagiza kitu China yenye usalama ni kutumia makampuni kwa ajili ya kazi hiyo kama Alibaba (unalipa online) ambao, kwanza mnapowasiliana na suppliers mnatumia system yao kiasi kila kitu kinakuwa recorded na wanatoa garantii ya pesa zako na mzigo wako. Wakijichanganya, Alibaba anakurejeshea pesa yako. Waulize akina Janeth wa Silent Ocean huko China kama wanatoa garantii ingawa wanayo service ya kukulipia. Naomba niishie hapo
 
Kila mtu ana experience yake. Challenges ni zile zile utapeli,bidhaa za hovyo ndio maana kuna sehemu nimesema Wachina hawaeleweki. Mimi natumia shipper na sijawahi kupata tatizo kwenye malipo. Kuhusu quality au vitu kupungua napambana nao mwenyewe. Juzi nimepokea mzigo una 1/2 ya vitu nilivyoagiza. Nimehangaika nao mwenyewe wanatuma vilivyopungua.
 
Mkuu hapa kuna kitu umesema nimepata somo, Shukrani sana aisee, Mfano mimi nataka nilipe mzigo wa thamani ya 20M za kitanzania at once, Bank ipi inayoweza nisaidia kulipa Whole at once sababu most banks they limit 5M nadhani, lakini pia
Naomba nikueleze, challenge kubwa katika uagizaji wa mizigo toka China, ni uaminifu wa Wachina. Wachina wengi ni matapeli. Ukilipa pesa kwa Supplier, kuna mawili, kupata bila shida yoyote (utapeli) au kutapeliwa kwa njia yoyote ile, iwe kwa bidhaa feki au kuzungushwa.

Ilishanitokea mpaka mchina akakataa kusafirisha mizigo yangu kwa kutumia Silent Ocean akadai lazima forwarder awe ni Mchina etc. Ilibidi niwe mdogo kama piliton na kuwa mpole, kiasi kila alilotaka, nilikubaliana naye ingawa mzigo ulitumia mwaka na zaidi kufika badarini Dar. Napo TRA!!!!!!

Njia ya kuagiza kitu China yenye usalama ni kutumia makampuni kwa ajili ya kazi hiyo kama Alibaba (unalipa online) ambao, kwanza mnapowasiliana na suppliers mnatumia system yao kiasi kila kitu kinakuwa recorded na wanatoa garantii ya pesa zako na mzigo wako. Wakijichanganya, Alibaba anakurejeshea pesa yako. Waulize akina Janeth wa Silent Ocean huko China kama wanatoa garantii ingawa wanayo service ya kukulipia. Naomba niishie hapo
 
Naomba nikueleze, challenge kubwa katika uagizaji wa mizigo toka China, ni uaminifu wa Wachina. Wachina wengi ni matapeli. Ukilipa pesa kwa Supplier, kuna mawili, kupata bila shida yoyote (utapeli) au kutapeliwa kwa njia yoyote ile, iwe kwa bidhaa feki au kuzungushwa.

Ilishanitokea mpaka mchina akakataa kusafirisha mizigo yangu kwa kutumia Silent Ocean akadai lazima forwarder awe ni Mchina etc. Ilibidi niwe mdogo kama piliton na kuwa mpole, kiasi kila alilotaka, nilikubaliana naye ingawa mzigo ulitumia mwaka na zaidi kufika badarini Dar. Napo TRA!!!!!!

Njia ya kuagiza kitu China yenye usalama ni kutumia makampuni kwa ajili ya kazi hiyo kama Alibaba (unalipa online) ambao, kwanza mnapowasiliana na suppliers mnatumia system yao kiasi kila kitu kinakuwa recorded na wanatoa garantii ya pesa zako na mzigo wako. Wakijichanganya, Alibaba anakurejeshea pesa yako. Waulize akina Janeth wa Silent Ocean huko China kama wanatoa garantii ingawa wanayo service ya kukulipia. Naomba niishie hapo
Lakini pia kwa Experience yako Transaction fees zipoje?
 
Back
Top Bottom