bakari rashidy
Member
- Jan 28, 2017
- 8
- 0
Watu wame vurugwa kwer magu nomaa
Pengne utakuwa panya mwenyewe na mende wakawa watoto wako we fuga tu nyoka.
Hahahahaa umenikumbusha mbaaaali sana, unasoma swali mara sita na bado hulielewi unasoma lingine yaleyale uwiiii![]()
![]()
![]()
![]()
Wanacheza ngololongololohahaha hapo mko sebuleni mnacheza kidogo kabla ya kwenda kulala

Kwann panya wa ndani hawaliwi, maaan kma nilishawahi siiaga hiiikituDawa ya kutibu ukiumwa na hao nyoka nmesikia ni 250,000/=
Hata mm napenda nyoka,but tuu kufuga mende unaweza losti km senene zinamafuta sana na tamu kulia na.ugali
Na pia panya kumaliza ni rahisi zaid kwa dawa au paka
Maana panya wa ndan hawaliwi
Fuga paka,ni wanyama.wazur,wakalimu wachesh hawachoshi km mbwa tuu
Sasa mkuu mtakuwa mnawasiliana vipi???? Maaana afadhari kidogo paka mkabahatisha kuelewana, ila nyoka mkuuuu???? Wewe lengo lako usitembelewe na ndugu, unataka kula wali na samaki kibua peke yakoKiongozi kuna nyoka wa aina nyingi ,nyoka wenye madhara makubwa kama cobra ,black mamba siwahitaji
Kuna nyoka ambao wapo friendly na hawana madhara mpaka uwachokoze
Paka wanazingua nimekuwa nao lkn hawana msaada
Nyoka siyo adui na sehemu penye kitoweo kama hvy hatokuwa na shida na MTU
Hahahhaha, yaaan kusoma jf unatakiwa umakini maaana waweza angusha chekoHawa paka wa siku hizi ni wakibisa kabisa bora nifuge Njerege tuu.
Paka wa siku hizi wamezoea kukaa kwenye masofa wakiangalia Tv alafu panya akipita anaishia kumtazama tuu,

Unga km wa akina chid, auHivi jamani hii dhana kwamba nyoka anakula unga je ni kweli ninachojua mimi nyoka anakula wanyama wadogo wadogo kulingana na size yake na pi kula nyoka wenzie, hii ya unga ipo sana kitaa ila sijawahi ona pls kwa anayejua hebu atudadavulie kidogo.
Unga km wa akina chid, au
Ukifanikiwa tafuta kibali toka maliasili si dhani kama nyoka anaruhusiwa kufugwa kiholelaSh ngap kiongozi
Na ni wa aina gani