Kama una eneo kubwa la kutosha, nakudhauri ufanye moja kati ya haya;
1. Jenga vyumba viwili, sebule na jiko. Tumia eneo la pembeni mwa kiwanja/eneo lako, iwe simple, mabati ya kawaida sana. Baadae ukipata pesa utajenga nyumba kubwa kwenye eneo hilo hilo, then hiyo utaifanya kuwa ya mpangaji.
2. Jenga foundation yote kwa ramani unayopenda, isiwe kubwa coz ikiwa kubwa sana pesa yote itaishia chini. Then pandisha chumba na sebule tu, baadae utaongeza kadri uwezo unavyoruhusu.
Kujenga sio kazi rahisi.