byembalilwa
JF-Expert Member
- Aug 7, 2012
- 2,066
- 951
inatosha
Msaada wa hako karamani mkuu.Natanguliza shukranihata hiyo niliyokutumia ni nyumba ndogo (lakini sio kama wanavyofikiri yaani ni nyumba ya uwani.
nilitumia hela nyingi kumlipa choraji kwa wakati ule na mshahara wangu ulikuwa 120,000/- na ramani nililipia 400,000/- kwa zote mbili.
Hivi una nyumba kweli we jamaaUnajenga Nyumba room mbili na sebule, choo cha ndani na njee, gipsum, tails na rangi. Ilimladi uwe na Kiwanja ambacho ni flat plot.
Nipe Kazi ya ufundi mkuu.
Nikuambie kitu dada,kama umeamua kujenga nyumba simple fanya hivyo,hakuna formula kwenye hizo issue. Nikupe mfano labda ulipiga budget ya kununua mbao za kuezeka at market price ila mara zali limekuangukia kuna mtu anaclear stock ya mbao ili afanye mambo mengine,umeshacut cost tayari then unamove next step. Wewe anza kujenge mambo mengine yatajulikana mbele kwa mbele.Kiwanja tu ninacho mkuu
Puunguzenii matanii basii tunaitajii majibu maana mtuu huuliza sio kwasabb yake yey kwasbb yaa wengin pia...acha kujilegeza wewe kwa pesa za mwanaume mwenzio,
.utaolewa!
Mkuu hii nyumba kwa 8 ni nyingi sana