Msaada: Nina Millioni 10 itatosha kujenga nyumba?

Msaada: Nina Millioni 10 itatosha kujenga nyumba?

453fff7126590fa5221128b6442aa2c0.jpg
c0f4d8726112f3dd4e91a38a60ec852c.jpg
962d0b20b61f3366cd6312a533ef6447.jpg
 
nunua carry fanya kaz ambayo itakuingizia 300k meanz kwa mwez ni 1.2m save kwa wastan wa 1m kwa mwez, fanya kaz mwaka mmoja kisha uza hyo carry 7m hapo utakuwa na almost 16m hapo utajenga na inategemea na ukubwa wa familia yako na mahitaji ya nyumba!
Kwaufupi 10m ni pesa ya kufanya biashara kwanza kabla hujawaza kujenga
Habar zenu wana jf naombeni msaada kimawazo na ushauri mm nina 10 mil nataka kuzielekeza kwenye ujenzi angalau kajumba kadogo na mm niwe na kwangu. Hiyo pesa niliyonayo je inaweza tosha naombeni msaada tafadhari
 
Hapo imefika hata milioni 3?
We utakuwa unaleta utani ila jenga ndo utaona kama hizo 10ml si chochote
Kiwanja tu nimenunua 2.5 ml hizo tofali zimekwenda tofali elf 11 fanya tofali sh. 150 bado mengineyo ngoja nishie hapo
 
Habar zenu wana jf naombeni msaada kimawazo na ushauri mm nina 10 mil nataka kuzielekeza kwenye ujenzi angalau kajumba kadogo na mm niwe na kwangu. Hiyo pesa niliyonayo je inaweza tosha naombeni msaada tafadhari
tafuta 30m
 
Hali ya sasa hivi mafundi wengi hawana kazi unakuta fundi ana maliza hadi miezi miwili au mitatu hana kazi..na usijaribu kbs kupatana na fundi ujenzi wa nyumba nzima nakwambia utalia..arf huyo uliyepatana nae akiwa site kazi yake yeye huwa eti kusimamia analeta mafundi wengine kabisa yani hapo katika ujenzi huku tunaita kuuziana kazi..kwa hiyo kama kakwambia gharama ni milioni 4.. Yeye atawauzia hao kujenga kwa tofari na hao mara nyingi wana wauzia shilingi 200 hadi 250.. Kwa hiyo yeye kwenye kila tofari ana uhakika wa kubaki na shilingi mia..bado cha juu alicho kupiga..yani ukija kumpa na hela ya material akanunue yeye ndo utalia zaidi...na uwe makini wakati wa ujenzi wasafishe msingi vizuri chini wakati wana jenga..wengine huwa wana shindwa kupata level wana force kuweka dongo chini arf tofari juu baada ya mda mvua zikianza kunyesha madongo yana sinyaa tofari inashuka chini ndo mwanzo wa nyumba kupata nyufa za kutosha..nyumba msingi muwe makini sana na mafundi kwenye msingi..mkikosea msingi huku juu hata mrembe vipi..mtakuwa na kazi ya kuziba viraka tu..kila raheli[emoji120]

Huyu jamaa anajua!! So wise watu wanapigwa sana site
 
Afu chini afunge matairi ya trekta,asee ni ubunifu mkuu maana si Tanesco wala Dawasco(kama Dar) wataenda kudai bili zao,lazima wasahau tu wakidhani ni Gari LA mizigo[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Khaaa [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Habar zenu wana jf naombeni msaada kimawazo na ushauri mm nina 10 mil nataka kuzielekeza kwenye ujenzi angalau kajumba kadogo na mm niwe na kwangu. Hiyo pesa niliyonayo je inaweza tosha naombeni msaada tafadhari
Milioni kumi inatosha aisee ila finishing haifiki
 
hata hiyo niliyokutumia ni nyumba ndogo (lakini sio kama wanavyofikiri yaani ni nyumba ya uwani.
nilitumia hela nyingi kumlipa choraji kwa wakati ule na mshahara wangu ulikuwa 120,000/- na ramani nililipia 400,000/- kwa zote mbili.
Mkuu Chiwa tafadhali naiomba nami pia hyo ramani kama hutojali
 
hata hiyo niliyokutumia ni nyumba ndogo (lakini sio kama wanavyofikiri yaani ni nyumba ya uwani.
nilitumia hela nyingi kumlipa choraji kwa wakati ule na mshahara wangu ulikuwa 120,000/- na ramani nililipia 400,000/- kwa zote mbili.
Mkuu Chiwa kama hutojali naiomba hiyo ramani na Mimi pia!!
 
Back
Top Bottom