Msaada: Nina Millioni 10 itatosha kujenga nyumba?

Msaada: Nina Millioni 10 itatosha kujenga nyumba?

Daaaah yani pesa kama hiyo kwa akili yangu ningekuwa nayo after sometimes ningekuwa dangote jaman
 
Asante sana mkuu kwa ushauri umenipa mwanga, hilo la kusema fundi mkuu inawezekana ndio nilikutana naye maana 4m sio mchezo kwa hali ya sasa
Hali ya sasa hivi mafundi wengi hawana kazi unakuta fundi ana maliza hadi miezi miwili au mitatu hana kazi..na usijaribu kbs kupatana na fundi ujenzi wa nyumba nzima nakwambia utalia..arf huyo uliyepatana nae akiwa site kazi yake yeye huwa eti kusimamia analeta mafundi wengine kabisa yani hapo katika ujenzi huku tunaita kuuziana kazi..kwa hiyo kama kakwambia gharama ni milioni 4.. Yeye atawauzia hao kujenga kwa tofari na hao mara nyingi wana wauzia shilingi 200 hadi 250.. Kwa hiyo yeye kwenye kila tofari ana uhakika wa kubaki na shilingi mia..bado cha juu alicho kupiga..yani ukija kumpa na hela ya material akanunue yeye ndo utalia zaidi...na uwe makini wakati wa ujenzi wasafishe msingi vizuri chini wakati wana jenga..wengine huwa wana shindwa kupata level wana force kuweka dongo chini arf tofari juu baada ya mda mvua zikianza kunyesha madongo yana sinyaa tofari inashuka chini ndo mwanzo wa nyumba kupata nyufa za kutosha..nyumba msingi muwe makini sana na mafundi kwenye msingi..mkikosea msingi huku juu hata mrembe vipi..mtakuwa na kazi ya kuziba viraka tu..kila raheli[emoji120]
 
Kibanda cha kulinda kiwanja hata 5m inatosha

Na kodi nakula Laki tisa kwa miezi sita si haba; ,,, na chini Tiles wameweka wenyewe pia,,,, ina maana ningekuwa sina makazi mengine hata mwenyewe pia ningeishi, halafu kwa maisha ya mjini boss ujanja kuwa na kwako,,,,ukisubiri hadi ushike million mia ndio ujenge utafaidisha wenye nyumba town, ujanja tafuta kwanza eneo kubwa nje ya mji kama Bunju au mapinga au popote,,,, then mdogomdogo au anza kijumba cha kuzugia ukae hapohapo uanze kukusanya material taratibu end of the day unajenga nyumba kubwa na nzuri
 
Habar zenu wana jf naombeni msaada kimawazo na ushauri mm nina 10 mil nataka kuzielekeza kwenye ujenzi angalau kajumba kadogo na mm niwe na kwangu. Hiyo pesa niliyonayo je inaweza tosha naombeni msaada tafadhari
Haitoshi iyo mkuu bet ata timu 3 ili zijizarishe ujenge jumba la maana [emoji14][emoji14]
 
Hiyo hela ni ndogo sana, huwezi kujenga nyumba labda kama unajenga kijijini. Ushauri wangu endelea kupiga vibarua uongeze zaidi, ila sasa hizo milioni kumi ulizo nazo anza ujenzi usikae nazo unaweza kuzitumia kunyume na matumizi ya ujenzi.
Usimkatishe tamaa hapo anajenga vyumba viwili na ukumbi
 
Habar zenu wana jf naombeni msaada kimawazo na ushauri mm nina 10 mil nataka kuzielekeza kwenye ujenzi angalau kajumba kadogo na mm niwe na kwangu. Hiyo pesa niliyonayo je inaweza tosha naombeni msaada tafadhari
Hiyo inatosha kununulia kiwanja tu .
 
Afu chini afunge matairi ya trekta,asee ni ubunifu mkuu maana si Tanesco wala Dawasco(kama Dar) wataenda kudai bili zao,lazima wasahau tu wakidhani ni Gari LA mizigo[emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habar zenu wana jf naombeni msaada kimawazo na ushauri mm nina 10 mil nataka kuzielekeza kwenye ujenzi angalau kajumba kadogo na mm niwe na kwangu. Hiyo pesa niliyonayo je inaweza tosha naombeni msaada tafadhari
Hiyo mkuu fugia kuku kwanza
 
Afu chini afunge matairi ya trekta,asee ni ubunifu mkuu maana si Tanesco wala Dawasco(kama Dar) wataenda kudai bili zao,lazima wasahau tu wakidhani ni Gari LA mizigo[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Alizipataje
 
Back
Top Bottom