Msaada: Nimepata mkopo HESLB 7.8%

Msaada: Nimepata mkopo HESLB 7.8%

dogo badala ya kwenda bodi ya mikopo unakuja JF akili gani hiyo hapa utapata kejeli na wrong information tu... maisha ni kama keybord lazima ujue kitufe sahihi cha kubonyeza..... acha majungu na siasa ....for sure kuna makosa ya kiufundi yamefanyika nenda bodi acha kupoteza muda hapa

ahsante sana mkuu.
 
Chagua wa kusaidia
1 Mtu aliyekuwa na miguu
2 Mtu mwenye miguu ila viatu hana
3 Mwenye mkuu na viatu
 
Yaani sipendi kweli kweli uandishi wa aina hii!!
Hivi 's' na 'x' zinafanana? Halafu wewe ni kijana "msomi" unatarajia kwenda chuo kikuu??
Kwa nini uandike hivi kama mjinga mjinga wa wapi sijui huko? Hata sijasoma ujumbe wako, nikiona mtu kaandika kwa staili hii nachukia sana!!
Hivi huko shule mlienda kusomea ujinga? (kwa sauti ya FaizaFoxy)

Halafu huyo ndiyo anajiita "msomi".

Utakuta huyo ndio katika wale wanaovaa suruali chini ya makalio.
 
mwingine kapata 25000 juz mlikuwa mbachekelea leo mnalia
 
Jaribu kuappeal, ikishindikana basi inabidi hela yako ya kujikimu uwe unaingiza kwenye ada maana hamna namna
 
Halafu huyo ndiyo anajiita "msomi".

Utakuta huyo ndio katika wale wanaovaa suruali chini ya makalio.

katka xwala la uandxh na xwala la lugha kuna kpengele tunakiita utaxh wa lugha huu utaxh wa lugha unatokea kwa wale watu ambao wana uzoefu na lugha haxwa mtu alie zaliwa na hugha huxka kwa hio cwez bxhana na ww mana najua hujui lugha vzr labda ww c m tz au hjawai xoma lugha. hii ktu ipo ktk kla lugha ina utaxh wake xawa ndugu yaan ww unae pnga watu wanao jua watakuona chz
 
nikiwakomalia wanaweza kuongeza?
Au mpaka kuandika barua?
Inaweza chukua muda gani kupata feedback?

ni ngumu lakini fanya hivi:
nenda chuoni endelea na masomo! lile bumu la kwanza (nadhani ni laki sita na ushee) lipia ada nusu semister wakati huohuo ukiendelea na michakato ya kukata rufaa. ukibahatika mkopo wako unaweza kubahatika!
 
Shukuru mungu umepata hiyo. Unajua advantage iko wapi. Hata ukiwa na 0% unapata pesa ya kujikimu ile 10,000. Kila siku. Jibane uishi kwa hiyo
 
ni ngumu lakini fanya hivi:
nenda chuoni endelea na masomo! lile bumu la kwanza (nadhani ni laki sita na ushee) lipia ada nusu semister wakati huohuo ukiendelea na michakato ya kukata rufaa. ukibahatika mkopo wako unaweza kubahatika!

kurekebishwa lakini utakuwa umesota kiasi. na wasipo rekebisha hamna namna itabidi ukomae kwa staili ya hapo juu.
 
Back
Top Bottom