Msaada: Nimepata mkopo HESLB 7.8%

Msaada: Nimepata mkopo HESLB 7.8%

Mimi ni mwanafunzi mwaka wa kwanza, nimechaguliwa mech eng. Cha ajabu mkopo umetoka , nimekuta kwenye tuition fee wameweka 80,000/= kwa kweli sikuamini, nikarudia kama mara 3 hv. Ilikuwa kweli.
Ada ya chuo ni 1,020,000/=
naomben ushauri nifanye nini?
Maana wazee nao ni shida tu, hicho kiasi kilichobaki kinaniumiza kichwa sana.
Natanguliza shkrani.

Mshukuru sana Mungu! Unasoma chuo kwa ada ndogo kuliko ya primary/secondary private! Utalipiwa stahili zingine zote kwa ukamilifu wake!
Unaonaje ukilipiwa ada yote lakini vingine vyote ujitegemee?
 
loan board walitoa nafasi ya kuapeal bure Kama umepewa Ada kidogo...I wonder hufuatilii umeishia kulalamika
 
Back
Top Bottom