TONY MTAKAYOTE
Senior Member
- Jan 24, 2013
- 150
- 69
- Thread starter
- #41
labda ungemchagua yule mgombea yule mwingine yasinge kupata haya.
one vote has no effect.
Hakukuwa na namna.
labda ungemchagua yule mgombea yule mwingine yasinge kupata haya.
kuna utaratbu gan wa kuxubr meal allowance wakat ucpo kamlxha karo hata chuo awakupokei bum huxain na wala hostel hupangw MXAADA PREASE
koz yako ni priority...???
80000😕
ahsante
Yaani sipendi kweli kweli uandishi wa aina hii!!Kuna utaratibu up wa kuxubr meal alnwance wakat bila kukamlxha mchango na karo chuo hawakupokei bum huxain na wala bwen hupangiwi inakuaje apo uxhaur mkubwa
Mimi ni mwanafunzi mwaka wa kwanza, nimechaguliwa mech eng. Cha ajabu mkopo umetoka , nimekuta kwenye tuition fee wameweka 80,000/= kwa kweli sikuamini, nikarudia kama mara 3 hv. Ilikuwa kweli.
Ada ya chuo ni 1,020,000/=
naomben ushauri nifanye nini?
Maana wazee nao ni shida tu, hicho kiasi kilichobaki kinaniumiza kichwa sana.
Natanguliza shkrani.

Bora wewe kuna wengne wamelipiwa ada elf30. Jibane kwenye hela ya kula