Msaada: Nimepata mkopo HESLB 7.8%

Msaada: Nimepata mkopo HESLB 7.8%

Mimi ni mwanafunzi mwaka wa kwanza, nimechaguliwa mech eng. Cha ajabu mkopo umetoka , nimekuta kwenye tuition fee wameweka 80,000/= kwa kweli sikuamini, nikarudia kama mara 3 hv. Ilikuwa kweli.
Ada ya chuo ni 1,020,000/=
naomben ushauri nifanye nini?
Maana wazee nao ni shida tu, hicho kiasi kilichobaki kinaniumiza kichwa sana.
Natanguliza shkrani.

Duh, nadhani hii ndo namba yenyewe tuliyokuwa tunaingonjea mkuu.
 
ivi kuna wa diploma aliyeunganisha bachelor ameomba mkopo akapata
 
chuo kama wanalipa kwa semester. angalia unasoma cozi ngap na zinagharimu kias gan cha fedha. kisha jaribu kutafuta wahisani na kata pesa kidogo toka kwenye meal and accomodation
 
chuo kama wanalipa kwa semester. angalia unasoma cozi ngap na zinagharimu kias gan cha fedha. kisha jaribu kutafuta wahisani na kata pesa kidogo toka kwenye meal and accomodation

ahsante sana mkuu.
 
Kuna utaratibu up wa kuxubr meal alnwance wakat bila kukamlxha mchango na karo chuo hawakupokei bum huxain na wala bwen hupangiwi inakuaje apo uxhaur mkubwa
 
Jina lako tu duuuh MTAKAYOTE..

Shukuru hata hiyo wenzio hawajapata kabisa..jibane tu ile meal allowance itumie vizuri uweze kulipa at least semester ya pili

kuna utaratbu gan wa kuxubr meal allowance wakat ucpo kamlxha karo hata chuo awakupokei bum huxain na wala hostel hupangw MXAADA PREASE
 
Mimi ni mwanafunzi mwaka wa kwanza, nimechaguliwa mech eng. Cha ajabu mkopo umetoka , nimekuta kwenye tuition fee wameweka 80,000/= kwa kweli sikuamini, nikarudia kama mara 3 hv. Ilikuwa kweli.
Ada ya chuo ni 1,020,000/=
naomben ushauri nifanye nini?
Maana wazee nao ni shida tu, hicho kiasi kilichobaki kinaniumiza kichwa sana.
Natanguliza shkrani.
labda ungemchagua yule mgombea yule mwingine yasinge kupata haya.
 
Back
Top Bottom