The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Sasa hao ndio wengi?Wakuu kama kichwa cha mada kinavyojieleza nahitaji ushauri au mnitie moyo. Katika maisha yangu nimejikuta naangukia kwenye uhuni hivyo mpaka hapa ninavyoandika mada hii nishalala na malaya zaidi ya 160 wa kuwanunua. Wa mtaani kwa kuwatongoza wanafika 20 na punyeto pia nimeanza toka 2010.
Sasa wasiwasi wangu mimi mpaka sasa sina mtoto. Je kuna uwezekano nikapata mtoto kweli? Naombeni mchango wenu wakuu!

