Msaada: Nimelala na wanawake wengi sana

Msaada: Nimelala na wanawake wengi sana

Kumbe mzee baba unauwezo wakuzalisha kabisa ushauri usitoe mtoto ni kosa la jinai na pia ni dhambi kwa mwenyezi Mungu Unaweza ukaashibiwa kwakufanya hiki kitendo, kwanza nikupongeze kwa kuwa muwazi kwenye Hili na mengine ulioandika kwenye mada yako.

Ushauri wangu kwako jambo la kwanza katubu kanisani kwenye misa Hii dhambi ya kutoa mimba na mengine ukiwa na sadaka yako inenee maneno yakujutia dhambi ulizofanya ukimuomba Mungu akusamee na akuepushe na laana ukitumia baadhi ya mistari kwenye biblia.Hili ulilisahau kabisa fanyia kazi kabisa utakuja kunikumbuka.

Jambo la pili unapokuwa na mwanamke jitahidi umueleze kabisa kama una nia ya kuzaa nae au huna nia ya kuzaa kwa wakati husika before ujasex nae itakusaidia Sana na hata yeye mwanamke atajizuia kutopata mtoto na kama yupo kwenye siku zake za hatari atakuambia kabisa na akikumbia hivyo inabidi uheshimu usifanye mapenzi nae au ukifanya nae mapenzi usimkojolee ndani ya uke wake
mpwayungu village
sophy27
binti kiziwi
Ubarikiwe kwa ushauri wako mkuu
 
Hiyo si ndio huwa mnaiita necha yenu iweje tena utake kushauriwa?
Sii maisha mazuri kimwili na kiroho.mara kibao nimesali nikiwa gest na malaya.ndio ujue hiyo tabia sipendi
 
Kumbe mzee baba unauwezo wakuzalisha kabisa ushauri usitoe mtoto ni kosa la jinai na pia ni dhambi kwa mwenyezi Mungu Unaweza ukaashibiwa kwakufanya hiki kitendo, kwanza nikupongeze kwa kuwa muwazi kwenye Hili na mengine ulioandika kwenye mada yako.

Ushauri wangu kwako jambo la kwanza katubu kanisani kwenye misa Hii dhambi ya kutoa mimba na mengine ukiwa na sadaka yako inenee maneno yakujutia dhambi ulizofanya ukimuomba Mungu akusamee na akuepushe na laana ukitumia baadhi ya mistari kwenye biblia.Hili ulilisahau kabisa fanyia kazi kabisa utakuja kunikumbuka.

Jambo la pili unapokuwa na mwanamke jitahidi umueleze kabisa kama una nia ya kuzaa nae au huna nia ya kuzaa kwa wakati husika before ujasex nae itakusaidia Sana na hata yeye mwanamke atajizuia kutopata mtoto na kama yupo kwenye siku zake za hatari atakuambia kabisa na akikumbia hivyo inabidi uheshimu usifanye mapenzi nae au ukifanya nae mapenzi usimkojolee ndani ya uke wake
mpwayungu village
sophy27
binti kiziwi
Nafikir wanawake wengi sikuhiz tunaelewa Nini tunataka wakati gani tunahitaji mtoto na wakat gani hatuhitaji na wew kuwa muwazi kuhusu kuzaa ili isikuletee shida

Sabbu majuto utayopitia yakuathiri Sana badae ni hivo

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Umeshalala na wanawake 180. Una umri wa miaka 33. Tukichukulia kwamba umeanza mapenzi ukiwa na miaka 20, maanake kwa miaka 13 umelala na wanawake 180. 180/13= 14. Kwahiyo kwa mwaka mzima unalala na wanawake 14 tu, ambayo ni sawa na mwanamke 1 kwa mwezi!! Kijana hebu acha uzembe unadhani hilo dushee ulipewa la kuendea chooni tu? Bure kabisa..!
Dah! Nimejikuta nacheka kanisani kiti cha tatu kutoka mbele!
Mkuu umeanza kwa hesabu nikajua utamsikitikia kwa jinsi alivyokimbiza jahazi, kumbe unamtengenezea vibe jingine!?
Nasisi wenye miezi mitatu hatujachakata mbususu unatushauri nini!! Tunakwepa vizinga mkuu!!
 
Loh yuhu kijana kapoteza mda na akili zake wanawake 180 una miaka 33. Let say kila mwana mke ulilala nae ×3 tu 3×180=540 f**ks na kila unapo lala unachukua 45min. Manaake hapo 45min×540=24300minutes÷60=405hrs ÷24hrs, ulipoteza masaa 405, kwa jumla ya ngono bila hata kupata mtoto, ndo maana mnafanya sisi masikini kutukwana "pple are busy making money ur bzy on useless sex" loh.
Dah!! Intergrations zimetokea wapi tena!!
Hii dunia ndogo!!
 
Wakuu kama kichwa cha mada kinavyojieleza nahitaji ushauri au mnitie moyo.

Katika maisha yangu nimejikuta naangukia kwenye uhuni hivyo mpaka hapa ninavyoandika mada hii nishalala na malaya zaidi ya 160 wa kuwanunua.

Wa mtaani kwa kuwatongoza wanafika 20 na punyeto pia nimeanza toka 2010.

Sasa wasiwasi wangu mimi mpaka sasa sina mtoto.

Je kuna uwezekano nikapata mtoto kweli?

Naombeni mchango wenu wakuu!
Total 180 tu, watu tunakimbilia 500
 
Back
Top Bottom