Umelala na wanawake 180, una umri gani? Una mental disorder ya ngono.Wakuu kama kichwa cha mada kinavyojieleza nahitaji ushauri au mnitie moyo.ktk maisha yangu nimejikuta naangukia kwenye uhuni hivyo mpaka hapa ninavyoandika mada hii nishalala na malaya zaidi ya 160 wa kuwanunua. wa mtaani kwa kuwatongoza wanafika 20 na punyeto pia nimeanza toka 2010.sasa wasiwasi wangu mim mpaka sasa sina mtoto je kuna uwezekano nikapata mtoto kweli? Naombeni mchango wenu wakuu
Nishapata kesi zaidi ya sita za mimba ila mazingira na inategemea na demu alienipa taarifa za mimba. Nyingine huwa nazikaa kulingana na mazingira niliekutana na demuYaani kati ya hao wote hakuna hata mmoja aliyewahi kukusingizia mtoto?
Umelala na wanawake 180, unaumri gani? Una mental disorder ya ngono.
Sasa hapo tukusaidieje? Watoto unapata halafu unawakataa!!!Nishapata kesi zaidi ya sita za mimba
.ila mazingira na inategemea na demu alienipa taarifa za mimba.nyingine hua nazikaa kulingana na mazingira niliekutana na demu
Umeshalala na wanawake 180. Una umri wa miaka 33. Tukichukulia kwamba umeanza mapenzi ukiwa na miaka 20, maanake kwa miaka 13 umelala na wanawake 180. 180/13= 14. Kwahiyo kwa mwaka mzima unalala na wanawake 14 tu, ambayo ni sawa na mwanamke 1 kwa mwezi!! Kijana hebu acha uzembe unadhani hilo dushee ulipewa la kuendea chooni tu? Bure kabisa..!🤣🤣🤣🤣Wakuu kama kichwa cha mada kinavyojieleza nahitaji ushauri au mnitie moyo.ktk maisha yangu nimejikuta naangukia kwenye uhuni hivyo mpaka hapa ninavyoandika mada hii nishalala na malaya zaidi ya 160 wa kuwanunua. wa mtaani kwa kuwatongoza wanafika 20 na punyeto pia nimeanza toka 2010.sasa wasiwasi wangu mim mpaka sasa sina mtoto je kuna uwezekano nikapata mtoto kweli? Naombeni mchango wenu wakuu
Inategemea, mie nilipitia huko na namshukuru mungu mpaka nimeacha uzinzi, sikuumwa hayo maradhi na ujinga kabisa mie ndomu sikuwahi kuiweza.Nenda hospitali
kwa umalaya huo sidhani kama hujawahi kuugua magonjwa ya zinaa na magonjwa hayo kunawakat huwez kusababisha ugumba
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Mna ujasiri Sana aiseeInategemea, mie nilipitia huko na namshukuru mungu mpaka nimeacha uzinzi, sikuumwa hayo maradhi na ujinga kabisa mie ndomu sikuwahi kuiweza.
Mpaka sasa bado umelala? kumekucha mzee, Amka sasa utandike kitandaWakuu kama kichwa cha mada kinavyojieleza nahitaji ushauri au mnitie moyo. Katika maisha yangu nimejikuta naangukia kwenye uhuni hivyo mpaka hapa ninavyoandika mada hii nishalala na malaya zaidi ya 160 wa kuwanunua. Wa mtaani kwa kuwatongoza wanafika 20 na punyeto pia nimeanza toka 2010.
Sasa wasiwasi wangu mimi mpaka sasa sina mtoto. Je kuna uwezekano nikapata mtoto kweli? Naombeni mchango wenu wakuu!
Tuanzie hapa kwanza,huoni aibu,yani umekaa uchi mbele ya wanawake 160...!!!


jamni