Msaada: Nina Mke ila nimekuwa mtu wa kupenda ngono sana hadi nanunua wadada na kupiga punyeto

Mdigokhan

JF-Expert Member
May 2, 2022
843
1,921
Habari ndugu zangu....

Nahitaji msaada wa kimawazo kutoka kwenu. Mimi ni kijana wa miaka 28 na nimeoa nina mtoto mmoja, Kabila langu ni Mdigo mtu wa Tanga.

Maisha yangu ni ya kawaida, nafanya kazi kwa masaa I mean naweza ingia kazini saa 10 Alfajiri mpaka saa 5 asubuhi nipo nyumbani. Suala la kupata elfu 30 kwa siku kwangu ni la kawaida sana. Napata muda mwingi wa kushinda nyumbani na mke wangu.

Tatizo langu nasumbuliwa na kuwaza ngono tena nawaza haswa, naweza cheki XX sometime napiga punyeto, naweza nunua madada poa telegram, naweza kwenda Kimboka yani nina vurugu japo nina mke yupo ndani

Nimejaribu kuikataa hii hali nikidhani kuoa ni kutibu hili tatizo ila nimekuwa vile vile. Nikitoka kazini nalala kidogo, nikiamka naingia telegram nacheki mademu wanavojiuza nanunua naenda lala nae.

SILIDHIKI kingono kesho nataka tena na tena na tena. Nikiwa sina hela labda majukumu yameingiliana basi nadili kuangalia tu picha zao na viji-crip vyao hata saa 4 nachezea simu mpk ni ugomvi kwa wife.

Nahitaji msaada aisee, najiuliza nimelogwa? Nina jini? najiendekeza? Au ni mwili wangu tu.

Katika ukuaji wangu nilikuwa naogopa sana mademu nilikuwa mtu wa punyeto tu. Nimekuja kumuingilia mwanamke nikiwa na miaka 21 ila idadi ya Wanawake niliolala nao tangu hapo mpaka sasa tena kwa kasi ya ajabu Yani sio chini ya mia mbili(200)

Sio utani kabisaa aisee mpaka 4some nimefanya sana (mwanaume mmoja wanawake wa3)

Nahitaji msadaa niachane na hii hali nibaki na mke wangu. Nimepima juzi UKIMWI sina nikajiapiza sitaki demu ila asubuhi ya leo kipindi natoka kazini nishapitia kwa demu nimefanya (3some). Nimewanunua nimesex nao na si kwamba nitapiga kimoja nilale nop show show.

Kipindi sina kazi maalumu sina kipato chochote nilikuwa sina hela ila napiga sound mademu na huwa hawakatai so nilikuwa malaya wa kutongoza yaani sikumbuki kama nani alinikataaga nikitongoza hukatai yani kama vile wananiona LIMINIHOO...

Msaada, USHAURI....
 
images (3).jpeg
 
Anza kwa kuacha kutazama Porn na picha za uchi za wanawake. Kisha tafuta shughuli ya kukuweka bize katika huo muda unaokuwa free.. Kisha jiwekee utaratibu wa kuushughulisha na kuuchosha mwili, kama mazoezi n.k...

Ni suala la muda tu, utajikuta unaacha hiyo tabia ukidhamiria kwa dhati kuiacha.
 
Mkuu pole porn limekua janga la kitaifa hasa vijana kama wewe
Tena ilivyokuja telegram ndo imeharibu kabisa yani

Wewe tayari umeshakua addicted na maswala haya ya ngono na kisaikolojia hauko sawa its better kuwaona kwanza wataalamu wa saikolojia ujue nini watakushauri
 
Pole mleta mada maana una ugonjwa wa akili. Sijamaanisha kukutukana ika ndio ukweli tayari akili yako imeshapata maradhi.

Sasa inatakiwa utafute namna ya kujitibia. Hakuna haja ya kumsingizia shetani wala nini hapo. Ni kwamba akili yako imepungua uwezo wa kupuuzia mambo kadhaa, akili yako imepoteza uwezo wa kuwa na kiasi, akili yako imepoteza uwezo wa kujua kikomo na mipaka.

Hivyo nakushauri shughulika zaidi na afya ya akili yako.
 
mkeo anahudumia ndoa yake vizur, i mean anayajua majukumu yake kwako?? umejielezea wewe kiuzuri kabisa lakini mkeo anajua uko hivi???


vipi kuhusu wewe una play part yako vizur kama mume??
Mke wangu anasimama kama mke kwenye majukumu yote..kitandani yup0 p0a sana...mimi ndio tatizo..
 
Nimejaribu kuikataa hii hali nikidhani kuoa ni kutibu hili tatizo ila nimekuwa vile vile. Nikitoka kazini nalala kidogo, nikiamka naingia telegram nacheki mademu wanavojiuza nanunua naenda lala nae.

SILIDHIKI kingono kesho nataka tena na tena na tena. Nikiwa sina hela labda majukumu yameingiliana basi nadili kuangalia tu picha zao na viji-crip vyao hata saa 4 nachezea simu mpk ni ugomvi kwa wife.
Je umejaribu kumshirikisha Mwamposa!
 
Habari ndugu zangu....

Nahitaji msaada wa kimawazo kutoka kwenu. Mimi ni kijana wa miaka 28 na nimeoa nina mtoto mmoja, Kabila langu ni Mdigo mtu wa Tanga.
Aisee ulivyosema mdigo umenikumbusha mdigo wangu mmoja anachakata huyo balaa na yeye mawazo ya threesome alikuwa nayo hatari ndio aliyonifanya nianze huu mchezo wa threesome. Kumbe wadigo ndio michezo yenuuu🤔🤔🤔🤔

Sasa bwana nimetongwa kuwa karibu i kutakuwa na house party moja matata...warembo kama wote. Kwa uzoefu uliosema hapa naona uwepo wako ni muhimu sana.
 
Mdigo wa wapi kaka, Duga, gombero, daluni, mwabza, petukiza, gezani, pongwe, kisimatuwi, gezani, kibiboni,stakishari, mwahako, usagara, vuo, kasera, manza, mwenza mwenye, mtombwani, monga, kwale, zingibari, gaurekeni au wapi, Fanya xn dhikri kaka,mtaje xn Allah kila mara, kumbuka xn umauti na siku ambayo utakua mbele ya Mola wako.
 
Pole sana..
Anza kujipa adhabu ndogo ndogo kama kufunga (kula jion) af muda huo jitahid kufanya mambo ya kujenga kama ibada.

Mwil automatically utaanza kufa tamaa zake
 
Kama ni kweli balehe yako imeanzia hapo nakumbuka form two kwenye Puberty starts 13 and ends 25. sasa kama yako imeanzia 25 kazi unayo.
 
Achana na vitu vyote ambavyo vinaamsha Hali ya matamanio,namba moja ni porn, filamu za ngono huwa zinaleta ashiki ya kufanya ngono so nijitahidi kuachana nazo,na hizi huchangia Sana watu wengi kukojoa haraka mara wafanyapo mapenzi na wenza wao matokeo yake wenza wao hawaridhishwi, unaathirika kisaikolojia na kujikuta fasta ushakojoa.

Pili Achana na telegram ktk kipindi hiki ambacho unataka kuondoa tatizo lako,Ila kumbuka wewe ndo mwenye uwezo wa kushindana na hiyo Hali kama kweli upo serious,kazi kwako kuamua.

Mara mawazo ya kucheki porn yakikujia Tu tafuta kitu mbadala cha kufanya,Kwa namna hiyo hiyo mdogo mdogo unajikuta hiyo Hali inaondoka.
 
Ushakuwa addicted jiaribu sana kuwa busy na fanya mazoezi sana jiarbu ata kutumia kiswaswadu kwa mda ili usiangalie porn
Habari ndugu zangu....

Nahitaji msaada wa kimawazo kutoka kwenu. Mimi ni kijana wa miaka 28 na nimeoa nina mtoto mmoja, Kabila langu ni Mdigo mtu wa Tanga.
 
Back
Top Bottom