Kosa langu ni lipi kwa hawa wanawake na nifanyeje wanielewe?

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Habari za wakati huu ndugu zangu

Hivi karibuni nimetokea kuvutiwa na mabinti wawili kwa wakati mmoja ikabidi nianze kuwafukuzia sana ili atakae jaa nichomoke naye kimaisha.

Binti mmoja alikua maji ya kunde na mwenzake mweupe tuu wa wastani , vimo sawa marafiki sana na wanapendana mno.

Nilianza kiwafatilia nikaona kama mwanaume acha nirushe nyavu zangu japo niliwaelewa sana isipo kua huyu mweupe ni mgumu kidogo.

Nikaona kama mwanaume acha niamze na huyu maji yakunde ni mvute karibu kiaina ilipia iwe rahisi kumpata mwenzake.

Mtoto alikubali japo siku mtongoza kabisa maana nilikua na mlenga sana huyu mwenzake .

Nilifanikiwa kujakupata mawasiliano yao kasoro hiyu mwingine haikua rahisi hivyo niliomba huyu binti mwingine rangi ya kunde anipe namba za rafiki yake kishikaji tuu.. kweli sikuamini kabisa binti aligoma kunipa na hapo hatasikuwa nime mtongoza wala nini ni vile utani utani tuu.

Mwamba niliona kwakua napendezwa sana na rafiki yake maana anajiweka real sana nikajisemea acha nionekane malaya na mjinga na nipoteyari kuvuliwa nguo hadharani acha nikomae nivute na huyu karibu.

Ndugu zangu nilikuja kufanikiwa na nikapata ukaribu naye wa kimnya pamoja na mawasiliano yake na binti (weupe) alionyesha kunikataa sana ila moyoni wazi kabisa na machoni alikua kanizimikia ni vile anajifanya nisimuone cheap.

Mwanaume nilizidi kukaza moyo na macho mwishowe nikaaidiwa kupewa jibu zuri ila aliomba nimpe muda japo kiutani akawa ananiambia wewe si unampenda rafiki yangu( hapa nilishituka kidogo nikajisemea usikute huyu binti wa maji yakunde kamuambia tunadate kitu ambacho hakipo wala sijamtongoza)

Nilimsihi na kumuahidi nina malengo naye ya kimaisha na akawa anaelewa tuu na utani kidogo maisha yana songa.

NDUGU ZANGU, huwezi amini siku nakuja kumtafuta huyu binti maji yakunde alinilaumu sana huku akinambia wewe si umempenda mwezangu ,ukaribu naye ushapata na namba yake umechukua basi inatosha, akanipiga block kawaida ila whatsapp akawa kaniacha tunachatlrt chati huko tuu japo anahasira sana.

Kwa kweli siku zimeenda rudi wametengana kila mtu yupo kivyake na kila wakati nakutana nao katika mishe zangu , nimejaribu kubonga na huyu binti mweupe mtoto wa watu yuko pisi ila huyu mwenzake nikikutana naye kanuna haswa na salamu hataki ila nikiwa na muonyesha tabasamu wakati mwingine anageuka anaonekana kutulia na kufurahi, ila moyoni kachukia sana kweli kweli.

Lengo langu kwao lilikua nizuri sana ni waweke wote karibu maana niliwapenda wote kwa pamoja , sema huyu mwenzake ndiye nilimlenga sana. Na lengo la kufanya hivyo ni ili huyu cheupe akiringa kuolewa basi ni mvute huyu maji ya kunde NA KAMA IKITOKEA WOTE WAMEFALL KWA PAMOJA BASI NIOE WOTE MAANA HATA HIVYO MM NATAKA KUJA KUOA WAKE WAWILI HIVYO NISINGE WAZULUMU NINGEWAOA WOTE TUU SIYO MBAYA WAKAWA WAKE ZANGU.

ndugu zangu mpaka naandika hapa nataka wanielewe nia yangu ni nzuri kwao na pia sitaki watengane urafiki wao nataka wawe pamoja..

Natafuta namna ya kuwaweka pamoja kila mtu na wanielewe ila inashindikana na inaonyesha wote kwa pamoja wanaumia sana ila kama wanawake hawana jinsi . Nimebaki katikati sijui kosa langu ni nini na nifanyaje wanielewe na warudi kawaida na kama mmoja wao ataridhia kuwa na mimi basi ni muoe ila kama wataridhia wote baai nioe wote tuu maana nime wapenda wote kutokea moyoni.

Wakuu wangu naombeni ushauri kwa hili jambo

Asanten
 
hapo hupati hata mmoja trust me, inaonekana wewe huwajui wanawake ushaharibu
 
Wanawake na wajua sana sema , huyu cheupe itakua kamwambia mwenzake kua nilimtongoza na kuchukua namba yake, maana nilimbananisha akiwa mwenyewe.

Japo alinambia wewe si unampenda mwenzangu, kitu ambacho hata huyu maji yakunde sikumwambia wala kumtongoza.

Na hisi hivi.

1: uenda huyu binti maji yakunde akimtambia mwenzake kuwa nampenda / tunadate

2: huenda huyu cheupe ananipenda sana maana wakati na mtongoza alionyesha kuumia moyoni ila anakila dalili ya kunikubalia na siku zote yuko poa nikikutana naye , ni mwenye furaha na mcheshi tuu mwenzake ndiye kawa kauzu..

3: huyu cheupe mimi ndiye nilimtongoza na siyo huyu maji ya kunde , huenda alienda kumuadithia mwenzake niliyo muambia alishindwa kukaa kimnya akaona amringishie.

4: Wao wote wanaonekana wamegombana wao kwa wao sasa shida ipo wapi, nafikiria kukaa karibu na huyu cheupe cz bado yuko poa sana na ndiye niliye mtongoza direct cz ndiye niliye kua na mtaka zaidi..
 
Mkuu mbona kama unaleta uzwazwa kwahyo we ulitaka upige pumbu wote yaan eti kimasikhara
Hapana, nimeandika maelezo mengi ila mimi kati ya hao niliyemtongoza real kabisa ni mmoja huyu cheupe na mimibndiye nilikua na mtaka huyuaana yupo real sana kuliko mwezake hajakaa kislay queen,

sasa kwanini rafiki yake amind kiasi kwamba cha kuvunja urafiki na mwezake ilihali mimi sikumtongoza huyu wa maji yakunde tofauti na kumtania tuu.

Huyu alikua tuu kama standby ila siku mtongoza kabisa wala kuonyesha nataka nini kwake.. nilimtumia ili nimpate mwezake kirahisi sana , ila moyoni nilisema mwezake akizingua mbeleni nakuja kugeuza kibao kwake ndiyo maana sikumtongoza nilimuweka standby kijanja.

Elewa vizuri hayo maelezo hapo.

Ndiyo maana mwisho nikasema kama wote wananitaka nipoa tuu na vuta wote, mm sikatai mwanamke kizembe
 
Last edited:
Aiseee suala la upendo kwa wanaume huonekanaga kichekesho tu. Hapo unachofanya unawaumiza tu hao mabinti. Na ukitaka kujua sisi wanawake tunayachukulia tofaut na nyie wanaume angalia hao mabinti wanavyoreact.. acha kucheza na hisia za watu. Mshika mawili siku zote moja humponyoka, sasa wew yanaweza kukuponyoka yote.
 
Nahisi hawa mabinti kabla sijamtongoza mwenzake na hisi huyu wa maji yakunde alinielewa ila alikua anasubiria ni mtongoze akaona simtongozi hivyo akwambia mwenzake huenda tuna deti,, maana inakuaje wakati na mtongoza huyu mwingine anijibu na mpenda mwenzake.. japo alionyesha kulainika..

Pia inaonekana alienda kumuambia mwenzake akamjaza uninga..

Nahisi kuna kafitina na wivu wamewekeana hapa wenyewe ili wakose wote.
 
Habari za wakati huu ndugu zangu,

Hivi karibuni nimetokea kuvutiwa na mabinti wawili kwa wakati mmoja ikabidi nianze kuwafukuzia sana ili atakaejaa nichomoke naye kimaisha.

Binti mmoja alikuwa maji ya kunde na mwenzake mweupe tuu wa wastani, vimo sawa marafiki sana na wanapendana mno.

Nilianza kiwafatilia nikaona kama mwanaume acha nirushe nyavu zangu japo niliwaelewa sana isipokuwa huyu mweupe ni mgumu kidogo.

Nikaona kama mwanaume acha nianze na huyu maji yakunde nimvute karibu kiaina, ili pia iwe rahisi kumpata mwenzake.

Mtoto alikubali japo sikumtongoza kabisa maana nilikuwa na mlenga sana huyu mwenzake.

Nilifanikiwa kujakupata mawasiliano yao kasoro hiyu mwingine haikuwa rahisi hivyo niliomba huyu binti mwingine rangi ya kunde anipe namba za rafiki yake kishikaji tuu. Kweli sikuamini kabisa, binti aligoma kunipa na hapo hatasikuwa nimemtongoza wala nini ni vile utani utani tuu.

Mwamba niliona kwakuwa napendezwa sana na rafiki yake maana anajiweka real sana nikajisemea acha nionekane malaya na mjinga na nipoteyari kuvuliwa nguo hadharani acha nikomae nivute na huyu karibu.

Ndugu zangu nilikuja kufanikiwa na nikapata ukaribu naye wa kimnya pamoja na mawasiliano yake na binti (weupe) alionyesha kunikataa sana ila moyoni wazi kabisa na machoni alikua kanizimikia ni vile anajifanya nisimuone cheap.

Mwanaume nilizidi kukaza moyo na macho mwishowe nikaaidiwa kupewa jibu zuri ila aliomba nimpe muda japo kiutani akawa ananiambia wewe si unampenda rafiki yangu( hapa nilishituka kidogo nikajisemea usikute huyu binti wa maji yakunde kamuambia tunadate kitu ambacho hakipo wala sijamtongoza).

Nilimsihi na kumuahidi nina malengo naye ya kimaisha na akawa anaelewa tuu na utani kidogo maisha yana songa.

Ndugu zangu, huwezi amini siku nakuja kumtafuta huyu binti maji yakunde alinilaumu sana huku akinambia wewe si umempenda mwezangu, ukaribu naye ushapata na namba yake umechukua basi inatosha, akanipiga block kawaida ila whatsapp akawa kaniacha tunachatat chati huko tuu japo anahasira sana.

Kwa kweli siku zimeenda rudi wametengana kila mtu yupo kivyake na kila wakati nakutana nao katika mishe zangu, nimejaribu kubonga na huyu binti mweupe mtoto wa watu yuko pisi ila huyu mwenzake nikikutana naye kanuna haswa na salamu hataki ila nikiwa na muonyesha tabasamu wakati mwingine anageuka anaonekana kutulia na kufurahi, ila moyoni kachukia sana kweli kweli.

Lengo langu kwao lilikua nizuri sana ni waweke wote karibu maana niliwapenda wote kwa pamoja , sema huyu mwenzake ndiye nilimlenga sana. Na lengo la kufanya hivyo ni ili huyu cheupe akiringa kuolewa basi ni mvute huyu maji ya kunde.

ndugu zangu mpaka naandika hapa nataka wanielewe nia yangu ni nzuri kwao na pia sitaki watengane urafiki wao nataka wawe pamoja.

Natafuta namna ya kuwaweka pamoja kila mtu na wanielewe ila inashindikana na inaonyesha wote kwa pamoja wanaumia sana ila kama wanawake hawana jinsi. Nimebaki katikati sijui kosa langu ni nini na nifanyaje wanielewe na warudi kawaida na kama mmoja wao ataridhia kuwa na mimi basi ni muoe ila kama wataridhia wote baai nioe wote tuu maana nime wapenda wote kutokea moyoni.

Wakuu wangu naombeni ushauri kwa hili jambo.

Asanteni.
Dah wte washajua unawataka wanahc unataka ucheze na hisia zao wew Ila utawapata tu usikute tamaa hawanaga akili hao
 
Namna gani hii
Mung akutie nguvu maana mwaka huu mapensi yatakumalisaaaa wallah
Pole sana.
 
Back
Top Bottom