Kwamba idadi ya wanawake aliogegedana nao ni chache kulingana na umri wake mkuu?Umeshalala na wanawake 180. Una umri wa miaka 33. Tukichukulia kwamba umeanza mapenzi ukiwa na miaka 20, maanake kwa miaka 13 umelala na wanawake 180. 180/13= 14. Kwahiyo kwa mwaka mzima unalala na wanawake 14 tu, ambayo ni sawa na mwanamke 1 kwa mwezi!! Kijana hebu acha uzembe unadhani hilo dushee ulipewa la kuendea chooni tu? Bure kabisa..!![]()


Umeshalala na wanawake 180. Una umri wa miaka 33. Tukichukulia kwamba umeanza mapenzi ukiwa na miaka 20, maanake kwa miaka 13 umelala na wanawake 180. 180/13= 14. Kwahiyo kwa mwaka mzima unalala na wanawake 14 tu, ambayo ni sawa na mwanamke 1 kwa mwezi!! Kijana hebu acha uzembe unadhani hilo dushee ulipewa la kuendea chooni tu? Bure kabisa..!![]()


wana jf bhnaKumbe mzee baba unauwezo wakuzalisha kabisa ushauri usitoe mtoto ni kosa la jinai na pia ni dhambi kwa mwenyezi Mungu Unaweza ukaashibiwa kwakufanya hiki kitendo, kwanza nikupongeze kwa kuwa muwazi kwenye Hili na mengine ulioandika kwenye mada yako.Nina tatizo moja naweza kumtamani mwanamke na nikamwambia kabisa naomba uwe mama mtoto wangu.alishakubali nikishasex nae namkinai ile hamu ya kuzaa nae tena ina inapotea.hivyo ikitokea akaniambia ana mimba namwambia katoe
Hao 400+ mbona wachache,Mtaalam mbona huyo nafuu, kuna watu wamefikisha 400+
Acha upotoshaji,Tuanzie hapa kwanza,huoni aibu,yani umekaa uchi mbele ya wanawake 160...!!!

Ndio uache sasa.Mimi mwenyewe malaya wote 160 niliotumia kondom hawafiki 20.140 wote peku ila nimepima ukimwi sina
Hizi ndio mada zako unazozipenda🤣Mtoa mada unajitunza Sana,
Wanawake 160, umri miaka 33 upewe upadri kabisa![]()
Ingekuwa ni Forever Living bro sasa hivi unakula faida tu, maana una matawi ya kutosha.Wakuu kama kichwa cha mada kinavyojieleza nahitaji ushauri au mnitie moyo.
Katika maisha yangu nimejikuta naangukia kwenye uhuni hivyo mpaka hapa ninavyoandika mada hii nishalala na malaya zaidi ya 160 wa kuwanunua.
Wa mtaani kwa kuwatongoza wanafika 20 na punyeto pia nimeanza toka 2010.
Sasa wasiwasi wangu mimi mpaka sasa sina mtoto.
Je kuna uwezekano nikapata mtoto kweli?
Naombeni mchango wenu wakuu!
Na ndio maana amelala na wanawake wengi. Abadili jina kwa kweli la sivyo ataendelea kuwa lekumok!Jina lenyenye linasadifu
Upo wap docta nije kupata ushaur zaidNdo hivo kunabaadhi ya magonjwa ngono huweza kusabbisha ugumba kama yasipotibiwa mapema Ila pia muhimu kucheck afya..
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Sio dokta lkn ni vitu ambavyo vipo wazi mbona Sana tu ni Kama pombe tu na sigara madhara yanaelewekaUpo wap docta nije kupata ushaur zaid
Kumbe? Anyway ,nimependa ny'wele zakoSio dokta lkn ni vitu ambavyo vipo wazi mbona Sana tu ni Kama pombe tu na sigara madhara yanaeleweka
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app