NdioNaweza kupata mtoto?
Duu mbona wachache sana kaka kwa hapa mjini Dar.Wakuu kama kichwa cha mada kinavyojieleza nahitaji ushauri au mnitie moyo.
Katika maisha yangu nimejikuta naangukia kwenye uhuni hivyo mpaka hapa ninavyoandika mada hii nishalala na malaya zaidi ya 160 wa kuwanunua.
Wa mtaani kwa kuwatongoza wanafika 20 na punyeto pia nimeanza toka 2010.
Sasa wasiwasi wangu mimi mpaka sasa sina mtoto.
Je kuna uwezekano nikapata mtoto kweli?
Naombeni mchango wenu wakuu!
Usiwe na wasi wasi kiongozi uko vizuri. Mfalme Solomon alikuwa na wake rasmi 700 sasa wasiwasi wako nini hata 200 hawajatimia bwana?Wakuu kama kichwa cha mada kinavyojieleza nahitaji ushauri au mnitie moyo.
Katika maisha yangu nimejikuta naangukia kwenye uhuni hivyo mpaka hapa ninavyoandika mada hii nishalala na malaya zaidi ya 160 wa kuwanunua.
Wa mtaani kwa kuwatongoza wanafika 20 na punyeto pia nimeanza toka 2010.
Sasa wasiwasi wangu mimi mpaka sasa sina mtoto.
Je kuna uwezekano nikapata mtoto kweli?
Naombeni mchango wenu wakuu!
😂😂😂😂😂 jamaa umenichekesha wewe. Et kitombiWanakuja kukupa muongozo kitombi
Kuwatia mimba wapenzi wake🏃♀️🏃♀️🏃♀️Tukusaidie nini sasa hapa?
Kumbe umewakataa mwenyewe.Nishapata kesi zaidi ya sita za mimba ila mazingira na inategemea na demu alienipa taarifa za mimba. Nyingine huwa nazikaa kulingana na mazingira niliekutana na demu
Kupata mtoto utapata ila wale wakwanza ambayo walitakiwa kuwa kama kina lowasa au kikwete hiv ushawaua waliobaki ni wapiga debe stend.Wakuu kama kichwa cha mada kinavyojieleza nahitaji ushauri au mnitie moyo.
Katika maisha yangu nimejikuta naangukia kwenye uhuni hivyo mpaka hapa ninavyoandika mada hii nishalala na malaya zaidi ya 160 wa kuwanunua.
Wa mtaani kwa kuwatongoza wanafika 20 na punyeto pia nimeanza toka 2010.
Sasa wasiwasi wangu mimi mpaka sasa sina mtoto.
Je, kuna uwezekano nikapata mtoto kweli?
Naombeni mchango wenu wakuu!