Msaada Nimeibiwa Jamani

Msaada Nimeibiwa Jamani

pole mzee,ila haki ya mtu haipotei,kama duniani umeikosa,basi siku ya malipo haklika utalipwa kwa haki yako uliyodhulimiwa and they are going to pay for it,
 
Yeah,kuna kijana anadai aliamka saa sita kujisaidia na vitu vyote vilikuwepo,ila alivyo amaka tena saa kumi hakuweza kuona kitu zaidi ya sebure kuwa nyeupe
Chakushangaza nimefuga mbwa pale nyumbani lakini kwa siku hiyo hata kelele ya mbwa mmoja haikusikika,
ina uma kwa kweli ni bora uyasikie yakitokea kwa wengine,kwani nipo hatua mia nyuma kwa sasa

Kaka nakushahuri next time FUNGA SECURITY CAMERA hapo nyumbani, nadhani kwa huko uliko ni SO CHEAP!
 
Camera unayomshauri kufunga inafanya kazi bila umeme? Maana umeme wenyewe unasuasua. Labda kama Injinia wetu akipata inverter nyingine (au ikirudi iliyoibiwa) ili aendelee kutumia umeme wa jua.

Itabidi Eng. Mtolera apate jibu ni kwa nini mbwa hawakubweka. Ila amejuaje hawakubweka? Maana inawezekana walibweka lakini wasisikike! Walioshindwa kusikia mlango ukivunjwa hawawezi kushindwa kusikia mbwa akibweka?
 
So file la ripoti lilofunguliwa polisi limepewa number ngapi? Maana hatutakiwi kuridhika irresponsibility ya polisi.?

Panabodi inabidi tuwabinye Pilisi wafanye kazi wakishindwa waseme. Tusiruhusu nakurahisha polisi wakwepe majukumu yao kwa sisi kutowafuatilia.

So give us the identity ya jalada alilofungua mama. nadhani ndo wanaita RB.
 
pole sana,na mie ilishawahi kututokea nyumbani.
wahusika ni watu wa hapo karibu wenye mazoea na nyumbani. sisi chanzo ilikua ni ujenzi hapo nyumbani,sasa baadhi ya vijana waliokua wanabeba vifaa kuleta hapo kwenye ujenzi ndio mmojawapo alichora ramani na akajua timetable yetu nzima.
(rushwa ) haihepukiki,ili upate msaada wa karibu sana na hata ikiwezekana upate baadhi ya vitu jaribu kuwapa kidogo mapolisi na wapelelezi ili wafatilie kiukaribu. nb katika vitu vilivyoibiwa kuna simu?? kama ndio ni pm nikupe solution kidogo iliyotusaidia sisi.
 
So file la ripoti lilofunguliwa polisi limepewa number ngapi? Maana hatutakiwi kuridhika irresponsibility ya polisi.?

Panabodi inabidi tuwabinye Pilisi wafanye kazi wakishindwa waseme. Tusiruhusu nakurahisha polisi wakwepe majukumu yao kwa sisi kutowafuatilia.

So give us the identity ya jalada alilofungua mama. nadhani ndo wanaita RB.
Nijuavyo kwa hawa Polisi wetu ni rahisi kukusaidia /kuwajibika kwenye kufungua jalada....lakin kufuatilia kesi/tuhuma ni 0.99%. Hata utoe rushwa haitokusaidia.
Sijui kwanin hawa serikali wamem-suport Babu wa Loliondo...wangewa-suport waganga wangine wanao uwezo wakuwavimbisha matumbo wezi. Hawa wangekua msaada mkubwa kwa jeshi letu la Police Force. Force of what?
 
Pole kaka Mungu atakuwezesha na hao jamaa watakamatwa tu.
 
Pole sana mkuu!najua ni jinsi gani kuibiwa kunavyouma!ukiibiwa hata ukute jamaa wanamchoma moto kibaka unaweza kuwaongezea mafuta ili awake vizuri!cha muhimu kaka nimesoma hapo umesema unafuga mbwa!hao wa kwako watakuwa hawa Local breed!huwa hawa sense vizuri,tafuta Germany Shepher mkuu,au Belgium Shepher,kibaka yupo mita 100 mbwa kashaanza kubweka hata kuingia inakua ngumu kwani hata waliolala wataamshwa na kelele za mbwa!

Mimi naishi dar mitaa ya mbezi yaani vibaka walikua wananisumbua ile mbaya!walishawahi kunipiga TV,Fridge hadi mito ya makochi,ikiwa usiku unaenda kulala unahamisha kila kitu sebuleni kuogopa jamaa wasije kuibuka usiku,siku hizi ninai Germany shepher wawili yanh hakuna anayethubutu kusogelea gate.full ulinzi,hata mlango nisipofunga kwa kufuli nalala raha mustarehe.
 
pole sana,na mie ilishawahi kututokea nyumbani.
wahusika ni watu wa hapo karibu wenye mazoea na nyumbani. sisi chanzo ilikua ni ujenzi hapo nyumbani,sasa baadhi ya vijana waliokua wanabeba vifaa kuleta hapo kwenye ujenzi ndio mmojawapo alichora ramani na akajua timetable yetu nzima.
(rushwa ) haihepukiki,ili upate msaada wa karibu sana na hata ikiwezekana upate baadhi ya vitu jaribu kuwapa kidogo mapolisi na wapelelezi ili wafatilie kiukaribu. nb katika vitu vilivyoibiwa kuna simu?? kama ndio ni pm nikupe solution kidogo iliyotusaidia sisi.

Kweli mkuu hata kwangu kunaujenzi unaendelea najenga ukuta kuzunguka nyumba yangu,sasa wife amenieleza kuwa fungi aliyempa kazi amekuja na mafundi wengi wanao msaidia kazi.
hata mimi nimekuwa nikiwashuku sana hao vijana,kwani wameiba mpaka ndala na madumu ya mafuta na maji hehehehe
 
Wana JF,napenda kuwapa taarifa kuwa,usiku wa kuamkia jana majira ya saa nane ucku,wezi walivunja mlango wa nyumba yangu na kuiba vitu vyote vilivyokuwepo seating room,
nachoshukuru tu kuwa mke wangu na ndugu walio kuwepo hapo nyumbani hawakudhuriwa na vibaka hao,
kwa kuwa nipo mbali na Nyumbani kwa sasa,naomba msaada wenu wana JF kwa wale waliopo Morogoro-Kihonda-Shule ya msingi Elu(Kihonda lukobe),kama itatoke umepambana na jamaa wanauza Friji,Tv,inveter,Redio,cution za makochi,Tv decoder,hivyo ni baadhi tu basi usisite kunijulisha kwa sms namba ya simu +8615202425864
Ingawaje wife ameshalipoti polisi lakini ni vyema pia kwa atakaye ona biashara ya namna hiyo maeneo ya kihonda morogoro kwa wale walioko morogoro mna weza nisaidia,kwani Nipo china kwa sasa inaniwia vigumu kufuatilia mali zangu

samahani kwa usumbufu wakuu

pole mkuu waambie mama na watoto waelekee loliondo kwa babu hakika wataletewa vyote walivyoiba..wakifika wampe ukweli babu
 
Pole sana engineer,
Mimi nashauri pia watu wengine ambao tunaishi ktk miji ambapo vibaka wameshamiri wajitahidi kufunga milango kwa kutumia NONDO mbili hivi Horizontal ili kuongeza ulinzi na kuwa tayari kwa emergency kama moto hivi unachomoa zile nondo mbili na unatoka haraka. Vile vile wakitumia fatuma unakuwa na muda wa kujipanga.
Vile vile tuwe na mazoea ya kutumia fundi mmoja mwaminifu, mimi kwangu natumia mmoja tu ambaye anatoka mbali pia, inalipa interms of Ulinzi and performance, wa karibu atafanya kidogo anaenda kwao. Hivyo namwitaga yeye namwelekeza aje na vijana wa kutosha. wakaribu akija anaambiwa hakuna kazi
 
Pole Mzee.
Kwa kwel hata mimi naishi maeneo hayo lakini kwa bahati mbya nilikuwa sijazipata hizo taarifa. Kwa kweli haya maeneo wizi umeshamiri, kwani hata mi nakumbuka wakati naanza maisha waliingia sebuleni wakapafanyia 'usafi', niliumia sana. Nitajitahidi kuchunguza kiaina vijiwe vya Mazimbu road, nikijifanya mteja. Kwa kweli nikiletewa dili lolote, nitakutaarifu ili tuandae mtego. Pole sana.
 
Pole sana Eng ,ngoja tuweke mitego kupitia kwa watu wetu nadhani utapata taarifa soon!
 
Pole Sana mkuu kuna jamaa aliibiwa baada ya kuwakamata wale wezi akawabebesha vile vitu walivyoviiba kutoka kule walipoviuza hadi nyumbani kwake
 
Back
Top Bottom