Msaada Nimeibiwa Jamani

Pole mkuu, tumekupata, me naishi kihonda kilimanjaro tutawapa taarifa pia majirani habari. pole sana.
 
wana jf,napenda kuwapa taarifa kuwa,usiku wa kuamkia jana majira ya saa nane ucku,wezi walivunja mlango wa nyumba yangu na kuiba vitu vyote vilivyokuwepo seating room,
nachoshukuru tu kuwa mke wangu na ndugu walio kuwepo hapo nyumbani hawakudhuriwa na vibaka hao,
kwa kuwa nipo mbali na nyumbani kwa sasa,naomba msaada wenu wana jf kwa wale waliopo morogoro-kihonda-shule ya msingi elu(kihonda lukobe),kama itatoke umepambana na jamaa wanauza friji,tv,inveter,redio,cution za makochi,tv decoder,hivyo ni baadhi tu basi usisite kunijulisha kwa sms namba ya simu +8615202425864
ingawaje wife ameshalipoti polisi lakini ni vyema pia kwa atakaye ona biashara ya namna hiyo maeneo ya kihonda morogoro kwa wale walioko morogoro mna weza nisaidia,kwani nipo china kwa sasa inaniwia vigumu kufuatilia mali zangu

samahani kwa usumbufu wakuu

pole sana engineer!
 
Kweli mkuu hata kwangu kunaujenzi unaendelea najenga ukuta kuzunguka nyumba yangu,sasa wife amenieleza kuwa fungi aliyempa kazi amekuja na mafundi wengi wanao msaidia kazi.
hata mimi nimekuwa nikiwashuku sana hao vijana,kwani wameiba mpaka ndala na madumu ya mafuta na maji hehehehe

pole sana,basi katika hao vibarua wa fundi kuna aliejua mpango mzima.
katika maelezo ya polisi mngewaandikisha hao kuwa mnawashuku ili wawasaidie polisi katika upatikanaji.anyway walioko huko watakusaidia pindi vikiingia sokoni. na hawataviuzia mitaa hiyo watauzia mbali sana.
 
pole sana ndugu. et serikali ndo wanasema wa2 2cjichukulie sheria mkononi kweli? unauma sana eti?
 
Back
Top Bottom