• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Tetesi: Msaada: Nimehitimu form four na nimepata alama hizi je, kuna uwezekano wa kuchaguliwa form five ya kiaerikali,private ama chuo?

Bonde la Baraka

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Messages
4,612
Points
2,000
Bonde la Baraka

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2016
4,612 2,000
Hakuna advance unayofiti. Iwe government au private.
Nakushauri nenda vyuo vya utumishi kachukue certificate ya record management.
 
Masiya

Masiya

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
6,190
Points
2,000
Masiya

Masiya

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
6,190 2,000
Kuna MTU kaniambia uwezekano Wa kwenda advance ya serikali upo kwa mchepuo Wa HKL ,ikichagizwa na sifa ya ufaulu Wa CCD , je ,yawezwkana mtu mwenye ufaulu Wa division four kuchaguliwa advance ya kiserikali?? Mchango wakuu!!
Ni kweli ana CCD lakini kwenda Advance unatakiwa uwe na Credit tatu katika masomo yako, uwe na point zisizo zidi 25 na wewe una 26. Hii ndio inayokuzuia kuchaguliwa. Na vigezo hivyo ni kwa shule zote za binafsi na serikali. Kama ni lazima uende F5 basi rudia mtihani vinginevyo fikiria diploma nyingi zinahitaji D nne nawe unazo na zaidi.


Chuo sahau walishasema nilazima upite ADVANCE LEVEL kabla ya chuo Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii sikweli issue sio kusema kwani wanasema mengi ukweli hakuna muongozo wowote unao onyesha hilo na TCU Admission guidelines ziko wazi.
 
advocate kiza

advocate kiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2019
Messages
267
Points
225
advocate kiza

advocate kiza

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2019
267 225
Unaenda.

Kuna mdada fulani, alienda na akapata Div 11 Points 10 HKL kutoka Div 4 Points 26.

Jambo la msingi uwe na CREDITS tatu ( Yaani C au zaidi ) na usiwe na F pia kwenye Combination unayotaka kusoma.
Anaweza Kupokelewa Ndio, Ila Hawezi Fanya Pepa La Six, Arisiti Somo Moja
 
james marco

james marco

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2017
Messages
209
Points
250
james marco

james marco

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2017
209 250
Awali ya yote Nikiwa kama member Wa jf nawasalimu nyote, na nawasilisha mjadala kama ifuatavyo;
Mimi ni muhitimu Wa form four na nimepata wastani Wa Division four ya 27 (4:27) ikiwa na alama zifuatazo za masomo;
Civics D,
History C,
Kiswahili D,
English C,
Geography D,
Biology D, na
Math's F
Kuna MTU kaniambia uwezekano Wa kwenda advance ya serikali upo kwa mchepuo Wa HKL ,ikichagizwa na sifa ya ufaulu Wa CCD , je ,yawezwkana mtu mwenye ufaulu Wa division four kuchaguliwa advance ya kiserikali?? Mchango wakuu!!
Mkuu hiyo division four huwezi kuchaguliwa kwa gvt schools coz hata hao wenye 3 tha mwishoni sio ote watachaguliwa ila private unaweza pata hapo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
S

sacred wall

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2017
Messages
593
Points
1,000
S

sacred wall

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2017
593 1,000
Kwa mwaka wao there is no shortcut.... Fuata procedures A_LEVEL TO UNIVERSITY

Sent using Jamii Forums mobile app
Si kweli kama una diploma,ya 3.5 GPA na Olevel una grades to C level then unaweza kwenda Medicine, Pharmacy etc ie kozi za afya University! Hivyo hivyo kwa arts, 3.0 GPA
 
guzman_

guzman_

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2016
Messages
1,053
Points
2,000
guzman_

guzman_

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2016
1,053 2,000
Ushauri wangu tuliza kichwa. Achana na chuo au form six. Nenda VETA chagua kozi nzuri. Hutajutia ila uwe determined na maisha yako. wengi wanakimbia huko ila ndo kuzuri
 
Suriya

Suriya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Messages
4,806
Points
2,000
Suriya

Suriya

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2015
4,806 2,000
Dogo wew nenda zako veta, achana na mambo ya kuwaza kwenda advance

Nanutapiga hela mapema tu, na kuondokana na changamoto nyingi za elimu na changamoto za ajira.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Planett

Planett

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2014
Messages
7,215
Points
2,000
Planett

Planett

JF-Expert Member
Joined Mar 20, 2014
7,215 2,000
kumbe dogo ndio umemaliza f4 mwakajana! ndio mana jf imekua petty sana siku hizi
 
G

Ghost Worker

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2016
Messages
1,134
Points
2,000
G

Ghost Worker

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2016
1,134 2,000
HUWEZI kwenda govt wala private. Huna credit pass 3 (Sijui huu utaratibu tuliotumia wahenga bado upo?)

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,404,312
Members 531,564
Posts 34,450,236
Top