• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Tetesi: Msaada: Nimehitimu form four na nimepata alama hizi je, kuna uwezekano wa kuchaguliwa form five ya kiaerikali,private ama chuo?

S

sacred wall

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2017
Messages
593
Points
1,000
S

sacred wall

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2017
593 1,000
Angalia fani unayohis unaweza kuifanya kwa mapenzi yote,,,
Mfano
Ujenzi
Geleji
Udereva
Fundi cheleani means nguo nae anapiga hela vizur tu.
Fundi,
Kazi za viwanda,

Mengine fanya kudatilia kama utachukua maamuz ya kudili na veta.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mh, mbona fani zote hizo vijana wapo mitaani hata kujiajiri hawawezi maana products zao zimefurika mitaani! Udereva ndio kituko! Labda bodaboda ya pikipiki! Cherehani the cheap technology??? ndio usiseme, njoo tanga kwa mfano, unajua wadigo hawataki shule, kila mtoto wa kike ni cherehani!
 
Suriya

Suriya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Messages
4,806
Points
2,000
Suriya

Suriya

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2015
4,806 2,000
Kama huwezi kazi ya kuwa boss wew na kuendesha kazi yako kwa ubora iliuweze kutengeneza kipato kikubwa achaaaaa.

Komaa na history, kiswahili na english
Unayowaza kuwa unaweza,

Alafu usubili serikali wakupe kazi sawa,

Ni wew sasa kama njia hiyo utaona utatoboa haya, imani yako mwenyewe juhudi zako mwenyewe, utajionea mwenyewe
Mh, mbona fani zote hizo vijana wapo mitaani hata kujiajiri hawawezi maana products zao zimefurika mitaani! Udereva ndio kituko! Labda bodaboda ya pikipiki! Cherehani the cheap technology??? ndio usiseme, njoo tanga kwa mfano, unajua wadigo hawataki shule, kila mtoto wa kike ni cherehani!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suriya

Suriya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Messages
4,806
Points
2,000
Suriya

Suriya

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2015
4,806 2,000
Sio kila mwenye leseni, anafaa kuwa dereva.

Big brain matter more.
Mh, mbona fani zote hizo vijana wapo mitaani hata kujiajiri hawawezi maana products zao zimefurika mitaani! Udereva ndio kituko! Labda bodaboda ya pikipiki! Cherehani the cheap technology??? ndio usiseme, njoo tanga kwa mfano, unajua wadigo hawataki shule, kila mtoto wa kike ni cherehani!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suriya

Suriya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Messages
4,806
Points
2,000
Suriya

Suriya

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2015
4,806 2,000
Lakini wamepitia veta, akasoma udereva uliyoipendekeza vijana wetu waende, what else then do you want of a driver? in a formal way!
Mkuu si nimekwisha kwambia fata hisia zako.

Usiongee sana kujikuta your good judgemental.
Nadhan hujua mm taaluma yangu ni ipi.

Utajua mbele swala la kazi tanzania likoje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
S

sacred wall

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2017
Messages
593
Points
1,000
S

sacred wall

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2017
593 1,000
Mkuu Ni Kwa Goverment School Au?
Sasa hivi kuna one policy kwa shule zote, private na gov. Zamani private ilikuwa ni fedha yako. Utaratibu huo Ndalichako aliufuta. Tuna single entry qualifications! Ukisoma tangazo halijatofautisha.
 
Ndumbayeye

Ndumbayeye

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2009
Messages
6,490
Points
2,000
Ndumbayeye

Ndumbayeye

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2009
6,490 2,000
Awali ya yote Nikiwa kama member Wa jf nawasalimu nyote, na nawasilisha mjadala kama ifuatavyo;
Mimi ni muhitimu Wa form four na nimepata wastani Wa Division four ya 27 (4:27) ikiwa na alama zifuatazo za masomo;
Civics D,
History C,
Kiswahili D,
English C,
Geography D,
Biology D, na
Math's F
Kuna MTU kaniambia uwezekano Wa kwenda advance ya serikali upo kwa mchepuo Wa HKL ,ikichagizwa na sifa ya ufaulu Wa CCD , je ,yawezwkana mtu mwenye ufaulu Wa division four kuchaguliwa advance ya kiserikali?? Mchango wakuu!!
Mbona kama unaandika kwa niaba ya mwanao? Avatar yako haisadifu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
S

sacred wall

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2017
Messages
593
Points
1,000
S

sacred wall

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2017
593 1,000
Mkuu si nimekwisha kwambia fata hisia zako.

Usiongee sana kujikuta your good judgemental.
Nadhan hujua mm taaluma yangu ni ipi.

Utajua mbele swala la kazi tanzania likoje.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna cha taaluma, usidanganye watu. Wewe kwani unajua taaluma yangu ni ipi. Veta ni petty technology kwa waliokosa ufaulu wa kwenda A level! Kwani ukiwa na degree ya uhandisi huwezi kufaya welding?
 
Ndumbayeye

Ndumbayeye

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2009
Messages
6,490
Points
2,000
Ndumbayeye

Ndumbayeye

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2009
6,490 2,000
Kwa iyo mtu akipata A tatu za History, Kiswahili na English na akawa na division IV ya 26 na yeye ataenda chuo kwa kuwa tuu ana credit?

Dogo, ukishakuwa na division 4 tuu, sahau advance.
Masharti ya baraza yanahitaji pass 5 kati hizo 3 ziwe credits ili mtu ufanye mtihani wa fvi sijui kama wamebadili mwaka huu. Serikalini hawachukui kwa sababu nafasi zinakuwa zinajaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suriya

Suriya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Messages
4,806
Points
2,000
Suriya

Suriya

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2015
4,806 2,000
Ooooh!! Kumbe siongei na kijana wa form four.
Nilifikil wew ndio mleta uzi.

Ok sawa ngoja nikuulize kitu,
Hivi kwa masomo ya advance unavo yaona,
Endapo mtu asipo fikisha credit kama hivo na ni wazi kuwa uwezo wake wa kuchimba kitabu haukua mzur sana,
Maana swala la kitabu kama unavo lijua kuna kusoma wee na kuishia kupata 40 ya 100 na uwezo ukaishia apo.

Ni wazi mtu huyo hastahili kukomaa na maswala ya shule ya advance,,,

Sasa wew unashahuli nn????
Mimi siye niliyeleta post hiyo. Nimetoa authority kumsaidia asidanganywe, Shule nilimaliza nadhani kabla hujazaliwa..........1986 UDSM......
Sent using Jamii Forums mobile app
 
airwing

airwing

Senior Member
Joined
Dec 8, 2017
Messages
138
Points
250
airwing

airwing

Senior Member
Joined Dec 8, 2017
138 250
Ushauri wangu! Na sisi tulikuw kama ww tumerisit sana, kama utafanikiwa kupat mda kurisiti ongeza na Masomo kadhaa ya Science kupat credit zaidi, itakusaidia kwny selection ya Couz za chuo hapo baadae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
S

sacred wall

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2017
Messages
593
Points
1,000
S

sacred wall

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2017
593 1,000
Ooooh!! Kumbe siongei na kijana wa form four.
Nilifikil wew ndio mleta uzi.

Ok sawa ngoja nikuulize kitu,
Hivi kwa masomo ya advance unavo yaona,
Endapo mtu asipo fikisha credit kama hivo na ni wazi kuwa uwezo wake wa kuchimba kitabu haukua mzur sana,
Maana swala la kitabu kama unavo lijua kuna kusoma wee na kuishia kupata 40 ya 100 na uwezo ukaishia apo.

Ni wazi mtu huyo hastahili kukomaa na maswala ya shule ya advance,,,

Sasa wew unashahuli nn????

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo umeongea vizuri sana. kamakichwani mtu hayuko vizuri, aachane na mambo ya a level......... Mimi nina mtoto wangu alikwenda A level, tests za kwanza nikaona kuna shida mbele. Nikamtoa nikampeleka Diploma and she is doing wonderfully! Huko mbele akipenda atakwenda University as long as ana GPA ya 3.5., na O level ana credit za kwenda form five.
 
Suriya

Suriya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Messages
4,806
Points
2,000
Suriya

Suriya

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2015
4,806 2,000
Sasa kama ni hvo, mbona unapondea mtu kuanza na level ya veta, au hujui hata aliye soma veta kama akifaulu vizur anaweza kwenda diploma na kwenda mbele zaidi???????
Hapo umeongea vizuri sana. kamakichwani mtu hayuko vizuri, aachane na mambo ya a level......... Mimi nina mtoto wangu alikwenda A level, tests za kwanza nikaona kuna shida mbele. Nikamtoa nikampeleka Diploma and she is doing wonderfully! Huko mbele akipenda atakwenda University as long as ana GPA ya 3.5., na O level ana credit za kwenda form five.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,404,312
Members 531,564
Posts 34,450,236
Top