Form 5&6 mwaka mmoja au chuo niamue lipi?

juvenile davis

JF-Expert Member
Apr 13, 2015
4,752
4,449
Nimemaliza form four mwaka 2008 na nikapata division 3 ya 24 ila sikubahatika kupata shule ya serikali ili kuendelea na kidato cha tano, na kwetu hakukuwa na uwezo wa kunipeleka shule za kulipia(private).

Hivyo elimu yangu ikaishia hapo lakini Bado natamani sana kusoma hata kama Sitapata ajira ila natamani na mimi nionekane ni mmoja ya wasomi wa nchi hii.

Je, niamue kipi kati ya haya? Nisome kidato cha 5 na 6 mwaka mmoja au niende tu chuo moja kwa moja?

Form Four masomo na ufaulu wangu ulikuwa kama ifuatavyo.. Maths F, biology C, History C, Geography D, Kiswahili D, Civics C, English B..
 
Nimemaliza form four mwaka 2008 na nikapata division 3 ya 24..ila sikubahatika kupata shule ya serikali ili kuendelea na kidato cha tano,na kwetu hakukuwa na uwezo wa kunipeleka shule za kulipia(private).hivyo elimu yangu ikaishia hapo.lakini Bado natamani sana kusoma hata kama Sitapata ajira ila natamani na mimi nionekane ni mmoja ya wasomi wa nchi hii.je niamue kipi kati ya haya? Nisome kidato cha 5 na 6 mwaka mmoja au niende tu chuo moja kwa moja? Form Four masomo na ufaulu wangu ulikuwa kama ifuatavyo.. Maths F,biology C,History C,Geography D,Kiswahili D,Civics C,English B..
Soma Advance mwaka mmoja tu then uende usome degree
 
Chuo unaenda somea nini???maana target 2025 uwe umejiajiri(una experience tayari) ama umeajiliwa maana kwa upepo huu 2026 itakua ngumu sana
 
Kapige Advance mwaka mmoja kisha kachukue degree, mimi nimesoma Form one mpaka six kwa miaka mitatu na sijawai pata chini ya division one hivyo inawezekana kakomae
 
Nimemaliza form four mwaka 2008 na nikapata division 3 ya 24..ila sikubahatika kupata shule ya serikali ili kuendelea na kidato cha tano,na kwetu hakukuwa na uwezo wa kunipeleka shule za kulipia(private).hivyo elimu yangu ikaishia hapo.lakini Bado natamani sana kusoma hata kama Sitapata ajira ila natamani na mimi nionekane ni mmoja ya wasomi wa nchi hii.je niamue kipi kati ya haya? Nisome kidato cha 5 na 6 mwaka mmoja au niende tu chuo moja kwa moja? Form Four masomo na ufaulu wangu ulikuwa kama ifuatavyo.. Maths F,biology C,History C,Geography D,Kiswahili D,Civics C,English B..
Advance secondary
 
Chuo unaenda somea nini???maana target 2025 uwe umejiajiri(una experience tayari) ama umeajiliwa maana kwa upepo huu 2026 itakua ngumu sana

Mkuu binafsi sina shida ya kuajiriwa bali nataka tu niwe ni msomi na mimi…hata hivyo mimi ni mjasiliamari tayari Maana nipo mtaani miaka mingi so sitaki kusoma ili nipate ajira
 
Nimemaliza form four mwaka 2008 na nikapata division 3 ya 24..ila sikubahatika kupata shule ya serikali ili kuendelea na kidato cha tano,na kwetu hakukuwa na uwezo wa kunipeleka shule za kulipia(private).hivyo elimu yangu ikaishia hapo.lakini Bado natamani sana kusoma hata kama Sitapata ajira ila natamani na mimi nionekane ni mmoja ya wasomi wa nchi hii.je niamue kipi kati ya haya? Nisome kidato cha 5 na 6 mwaka mmoja au niende tu chuo moja kwa moja? Form Four masomo na ufaulu wangu ulikuwa kama ifuatavyo.. Maths F,biology C,History C,Geography D,Kiswahili D,Civics C,English B..
kasome chuo usipoteze mda
 
Ukiingia humu JF unapata shauku na kujiuliza kwanini mimi sina elimu kutokana na kila mtu humu anajifanya amesoma au ni kweli amesoma, lakini kimaisha ya uhalisia wewe unaweza kuwa umefika mbali sana na shughuli zako za ujasiria mali kuliko hawa hawa unaweza kukuta bado wanasotea kazi, au wanafanya kazi ya mkononi kwenda kinywani.

Huo usomi sijui unautaka ukusaidie nini?

Kwanini badala ya kuutafuta usomi usio kuja kuwa na umuhimu wowote, kwa nini usiende kusomea fani, Ukiwa na Elimu ya ufundi haitakaa itokee uombe mtu hela umekwama, kama huna vifaa, unaweza hata kupata deiwaka sehemu yeyeto...

Fundi Ujenzi- Wakati unasema wewe ni tayari mjasiria mali, ukipata huu utaalamu unaweza baadae kujichanga na kununua vifaa vyako huku ukitumia vibarua, kuamua kuwa mkandarasi wa kujengea watu nyumba.

Fundi Umeme- Hii pia ni sawa na ujenzi, ukihitimu na kuchukua vibali, unajichanga na kazi zako za ujasiria mali na kununua vifaa vyako, na kuwa mkandarasi wa kufunga umeme kwenye majumba.

Fundi Welding - Unatengeneza mageti, madirisha na samani, Hapa utahitaji hela ya kununua welding machine tuu, hela ya electrode inatoka kwenye advance ya mteja,
 
Mkuu nimekwambia lengo ni usomi tu..kuhusu kuajriwa Kwa mimi sio dili kwanza sipendi kuajiriwa
 
Nimemaliza form four mwaka 2008 na nikapata division 3 ya 24 ila sikubahatika kupata shule ya serikali ili kuendelea na kidato cha tano, na kwetu hakukuwa na uwezo wa kunipeleka shule za kulipia(private).

Hivyo elimu yangu ikaishia hapo lakini Bado natamani sana kusoma hata kama Sitapata ajira ila natamani na mimi nionekane ni mmoja ya wasomi wa nchi hii.

Je, niamue kipi kati ya haya? Nisome kidato cha 5 na 6 mwaka mmoja au niende tu chuo moja kwa moja?

Form Four masomo na ufaulu wangu ulikuwa kama ifuatavyo.. Maths F, biology C, History C, Geography D, Kiswahili D, Civics C, English B..
Kasome chuo achana kabisa na habari za form 5-6
 
Soma Advance HGE uende degree ya Education then kazi utapata English Medium Primary Schools private
 
Back
Top Bottom