Msaada: Nimehitimu form four na nimepata alama hizi je, kuna uwezekano wa kuchaguliwa form five ya kiaerikali,private ama chuo?

Mwl Mweusi

Member
Feb 12, 2018
26
17
Awali ya yote Nikiwa kama member Wa jf nawasalimu nyote, na nawasilisha mjadala kama ifuatavyo;
Mimi ni muhitimu Wa form four na nimepata wastani Wa Division four ya 27 (4:27) ikiwa na alama zifuatazo za masomo;
Civics D,
History C,
Kiswahili D,
English C,
Geography D,
Biology D, na
Math's F
Kuna MTU kaniambia uwezekano Wa kwenda advance ya serikali upo kwa mchepuo Wa HKL ,ikichagizwa na sifa ya ufaulu Wa CCD , je ,yawezwkana mtu mwenye ufaulu Wa division four kuchaguliwa advance ya kiserikali?? Mchango wakuu!!
 
Kwa iyo mtu akipata A tatu za History, Kiswahili na English na akawa na division IV ya 26 na yeye ataenda chuo kwa kuwa tuu ana credit?

Dogo, ukishakuwa na division 4 tuu, sahau advance.
Na vipi kuhusu private naweza pata ? au ndo nifanye mpango Wa chuo tu ?
 
Nenda dip mkuu
Awali ya yote Nikiwa kama member Wa jf nawasalimu nyote, na nawasilisha mjadala kama ifuatavyo;
Mimi ni muhitimu Wa form four na nimepata wastani Wa Division four ya 27 (4:27) ikiwa na alama zifuatazo za masomo;
Civics D,
History C,
Kiswahili D,
English C,
Geography D,
Biology D, na
Math's F
Kuna MTU kaniambia uwezekano Wa kwenda advance ya serikali upo kwa mchepuo Wa HKL ,ikichagizwa na sifa ya ufaulu Wa CCD , je ,yawezwkana mtu mwenye ufaulu Wa division four kuchaguliwa advance ya kiserikali?? Mchango wakuu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reseat utafute credit ya kiswahili na geography ili uwe na wigo mpana utakapotaka kwenda advance.
 
Awali ya yote Nikiwa kama member Wa jf nawasalimu nyote, na nawasilisha mjadala kama ifuatavyo;
Mimi ni muhitimu Wa form four na nimepata wastani Wa Division four ya 27 (4:27) ikiwa na alama zifuatazo za masomo;
Civics D,
History C,
Kiswahili D,
English C,
Geography D,
Biology D, na
Math's F
Kuna MTU kaniambia uwezekano Wa kwenda advance ya serikali upo kwa mchepuo Wa HKL ,ikichagizwa na sifa ya ufaulu Wa CCD , je ,yawezwkana mtu mwenye ufaulu Wa division four kuchaguliwa advance ya kiserikali?? Mchango wakuu!!
Kwa masomo yako hapo naona una credits 2 yani C, na shule za private ni hadi uwe nazo 3. Kama lengo lako ni lazima usome A'Level basi rudia mtihani kupata hiyo C ingine/zingine ndo uweze kuwa Qualified kuendelea na A'Level PRIVATE SCHOOLS, vinginevyo tafuta chuo usome kitu ambacho unakipenda na ungetamani kuwa nacho (NDOTO), sababu unapoanza na hiyo diploma au chochote ujue kwa kiasi kikubwa hata kwenye kujiendeleza utapita humo humo kwenye hiyo taaluma/fani uliyoichagua/utakayoichagua sasa!..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na vipi kuhusu private naweza pata ? au ndo nifanye mpango Wa chuo tu ?
Unaenda.

Kuna mdada fulani, alienda na akapata Div 11 Points 10 HKL kutoka Div 4 Points 26.

Jambo la msingi uwe na CREDITS tatu ( Yaani C au zaidi ) na usiwe na F pia kwenye Combination unayotaka kusoma.
 
Huwezi kwenda advance huna credit una C mbili tu,chuo unaweza kwenda lkn sio kwa kuchaguliwa moja kwa moja na serikali mpaka uombe mwenyewe upya
 
Kwa masomo yako hapo naona una credits 2 yani C, na shule za private ni hadi uwe nazo 3. Kama lengo lako ni lazima usome A'Level basi rudia mtihani kupata hiyo C ingine/zingine ndo uweze kuwa Qualified kuendelea na A'Level PRIVATE SCHOOLS, vinginevyo tafuta chuo usome kitu ambacho unakipenda na ungetamani kuwa nacho (NDOTO), sababu unapoanza na hiyo diploma au chochote ujue kwa kiasi kikubwa hata kwenye kujiendeleza utapita humo humo kwenye hiyo taaluma/fani uliyoichagua/utakayoichagua sasa!..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mabadiliko huwa mnayapitiaga au kusikiliza kwenye vyombo vya habari kwa muktadha wa elimu walisema, kwa mtu ambae amefeli unapaswa kurudia masomo yote sio kuchagua baadhi uliyofeli na ni lazima na siyo hiari kwa nyakati hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaenda.

Kuna mdada fulani, alienda na akapata Div 11 Points 10 HKL kutoka Div 4 Points 26.

Jambo la msingi uwe na CREDITS tatu ( Yaani C au zaidi ) na usiwe na F pia kwenye Combination unayotaka kusoma.
Mbona kama unajichanganya mwenyewe mzee, umesema anaenda hpo hpo unasema lzma awe na C tatu, jamaa maelezo yake ana 2 sasa hpo umeshauri nn mzee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom