Piga mahesabu: Je ukifa kuna madhara au mzigo wowte utaaachia waliobaki? Je una sehemu gani katika familia na wanaokuzunguka? Kama huna madhara yoyote utakayowapatia waliobaki basi uamuzi ni wako, ila kama mzigo upo basi baki ukabiliane na majukumu yako ili upunguzie watu mzigo.
Acha U$ENGE mkuu,jiheshm,sijaomba msaada wa jinsi ya kujiua,bali kujiepusha na hali hiyo.
Ahsante.
shika adabu yako!
shika adabu yako!
kama unataka kujiua mkuu, ingia na nguruwe msikitini au kafanye fujo jeshini,
Habarini wakuu!
Nimepatwa na matatizo makubwa maishani ambayo yalipelekea nichanganyikiwe akili miaka ya nyuma,ila baada ya kutumia madawa na ushauri wa kisaikolojia,akili yangu ilirudi vyema.
Lakini,kwa miaka yote hiyo,nimekuwa kwenye msongo mkubwa wa mawazo,na mara kadhaa,wazo la kujiua hunijia kwa nguvu.
Hali hii inanitesa,na nashindwa kabisa jinsi ya kutoka hapa.
Naombeni msaada wenu,ili niweze ishi maisha ya kawaida.
Ahsanteni.
hiyo ni roho chafu ya kutaka kujiua( the spirit of committing suicide) ikatae na uivunje kwa mamlaka ya jina la yesu. we are always not standing by using the authority of our own name but jesus name
Nijuavyo mimi kufa na kuishi yote ni sawa! Ulizaliwa pasipo kutaka - utakufa pasipo kutaka; njia yoyote utakayotumia kuitoa roho ndo namna ulivyopangiwa. Bora kufa kuliko kuteseka kama watu wa Mtwara.
Madhara ya kusoma title na kurukia kuchangia ndio haya!
mkuu huyu mtu hayupo serious,yupo kwenye thread nyingine anaongelea bikra za makalioni tu afu anapotezea watu mda huku
Wacha kuwa selfish wewe, watu wamehangaika ili upone kwasababu wanakupenda. Fikiria waliyopitia mpaka ukarudi kama mwanzo, wazazi ndugu jamaa na marafiki.