MSAADA, Nataka KUJIUA

MSAADA, Nataka KUJIUA

Hiyo ni dalili kuwa bado hujapona, rudi tena kwa daktari wako akusaidie. Pia jaribu kuchanganyika na watu ili kupunguza msongo wa mawazo. Lakini yote hayo Tisa, kumi achana na hicho kinachokupa msongo wa mawazo na uamini kuwa maisha bila hicho yanawezekana

Thanks alot mwanafyale
 
Last edited by a moderator:
Yaani ulivyoandika nikajua unatKa usaidiwe jinsi ya kujiua.

Kemea hayo mawazo na jiweke mbali na upweke. Badili attitude yako kuhusu maisha. Kuna watu wana matatizo lukuki lakini wanatabasamu kila wakati. Utatoboa tu mbona, Mungu sio Jumanne unajua?
 
Hebu acha kumpa shetani utukufu kwakutaka kujiua, ikemee hiyo roho ya mauti na pia nivema kama utarudi tena kwa wataalam wa saikologia ili uweze kutokomeza tatizolako.
 
Ahsante sana King'asti
 
Last edited by a moderator:
Habarini wakuu!
Nimepatwa na matatizo makubwa maishani ambayo yalipelekea nichanganyikiwe akili miaka ya nyuma,ila baada ya kutumia madawa na ushauri wa kisaikolojia,akili yangu ilirudi vyema.
Lakini,kwa miaka yote hiyo,nimekuwa kwenye msongo mkubwa wa mawazo,na mara kadhaa,wazo la kujiua hunijia kwa nguvu.
Hali hii inanitesa,na nashindwa kabisa jinsi ya kutoka hapa.
Naombeni msaada wenu,ili niweze ishi maisha ya kawaida.
Ahsanteni.

pole sana!

angalia yale matatizo yako yanayokusababishia hiyo hali kisha linganisha na matatizo makubwa uyajuayo yanayowapata watu wengine, fanya hivyo kwa kadri uwezevyo mfano kutembelea internet na ku=google matukio makubwa makubwa yaliowapata watu humu duniani,

jishughulishe na matatizo makubwa kwa madogo ya watu wengine fanya hivyo mara nyingi zaidi kwa kadri uwezavyo, yaani uwe mwanasaikolojia kwa watu wengine kwenye shida zao!!

nakuhakikishia utapona!!

USISAHAU PIA KUWA BINADAMU HUISHI "EXACTLY AT THE SAME TIME" KWENYE ULIMWENGU WA KIROHO(ROHO) NA ULIMWENGU WA KIMWILI(MWILI), KATIKATI YAO KUNA "NAFSI" AMBAYO NDIO MKALIMANI WA ULIMWENGU HIZO MBILI.

ulimwengu wa kiroho upo katika namna mbili; ulimwengu wa nuru na ulimwengu wa giza, kama ulimwengu wa giza ndio iliyopo madarakani basi tegemea habari za kujiua na zingine za kukata tamaa, ila kama ulimwengu wa nuru ndio uliopo madarakani basi tegemea kupata maji katika mwamba mgumu yaani kupata tumaini pasipo na tumaini.

MWILI UMEACHA ROHO MAANA YAKE HAKUNA MKALIMANI BAINA YAO, YAANI NAFSI IMEKUFA!

MUNGU NI MKUBWA.
 
Hebu acha kumpa shetani utukufu kwakutaka kujiua, ikemee hiyo roho ya mauti na pia nivema kama utarudi tena kwa wataalam wa saikologia ili uweze kutokomeza tatizolako.

Nashukuru Lady doctor,hivi jana nilikuwa kwa physiochologist,ila nimetaka mawazo yenu maana nimeona ushauri wa wanasaikolojia nimeupokea siku zote,ila msongo wa mawazo upo pale pale
 
Last edited by a moderator:
Bwana wewe una akili sana. Ukijiua utakuwa umemaliza matatizo yoooooote. Ukitaka ufe kwa raha nenda faya, ukiona taa zinaruhusu magari kupita ruka ukalale katikati ya barabara kutaimu gari ziendazo kasi sana hasa zile zinazojenga barabara zenye kifusi au mawe juu. Yaani hutaumwa hata kidogo. Kila la kheri njomba mwanaume wa shoka wewe.
 
Pole sna..hiyo ni roho chafu..na unatawaliwa na mawazo mabaya..epuka kukaa peke yako,jichanganye na watu..pendelea kusali zaidi..Mungu ana makusudi na uhai wa kila mmoja..jipe moyo
 
FA.LA wewe!
Sijaomba msaada wa jinsi ya kujiua,bali kuepukana na hali hiyo!
Kukaa kimya ni busara pia.
 
Habarini wakuu!
Nimepatwa na matatizo makubwa maishani ambayo yalipelekea nichanganyikiwe akili miaka ya nyuma,ila baada ya kutumia madawa na ushauri wa kisaikolojia,akili yangu ilirudi vyema.
Lakini,kwa miaka yote hiyo,nimekuwa kwenye msongo mkubwa wa mawazo,na mara kadhaa,wazo la kujiua hunijia kwa nguvu.
Hali hii inanitesa,na nashindwa kabisa jinsi ya kutoka hapa.
Naombeni msaada wenu,ili niweze ishi maisha ya kawaida.
Ahsanteni.
Pole sana kikubwa kwa sasa unatakiwa ujitambuia kuwa wewe ni nani na una nafasi gani katika jamii na nchi yako kwa ujumla na baada ya hapo kufa ni lazima lkn si kwa force kama hivyo jaribu kuondokana na hayo mawazo ya kufikili kiasi hicho kwani si vyema kabisa kuwa na mawazo hayo na hata kama yakija kwenye kichwa chako usiyape nafasi na usiwe mtu wa kujifungia chumbani toka zungumza na watu tofauti2 ili upate mawazo mapya kila wakati itkusaidia sana kuondokana na hili tatizo.
 
Pole sna..hiyo ni roho chafu..na unatawaliwa na mawazo mabaya..epuka kukaa peke yako,jichanganye na watu..pendelea kusali zaidi..Mungu ana makusudi na uhai wa kila mmoja..jipe moyo

Ubarikiwe sana mimisa.
 
Last edited by a moderator:
samehe kama kuna mtu alikukosea kama ulikosea omba msamaha, waone watumishi wa Mungu watakuombea hilo ni pepo la mauti
 
unahitaj maombi sana sana ila pia itambue nafsi yako kwamba wewe unathamani gani manake no matter what went wrong haina maana kwamba utu wako umeshuka ama maisha yako yamekosa maana. still kuna watu ambao wangependa na wanapenda sana uwepo wako na wanauthamini pia

maisha ni kukosea kisha kunyanyuka unajifuta na kusonga mbele usiangalie wangapi ama yapi yanasemwa ila angalia nini nataka kibadilike kwangu na nitakibadilisha vipi. ni ngumu kuridhisha watu wote lkn pia sio busara kukosana nao wote hivyo mwombe mungu akupe utu wema na moyo wa uvumilivu utaish milele nakuambia.
 
Pole sna..hiyo ni roho chafu..na unatawaliwa na mawazo mabaya..epuka kukaa peke yako,jichanganye na watu..pendelea kusali zaidi..Mungu ana makusudi na uhai wa kila mmoja..jipe moyo

hey mumitooooooo ....... nakutegemeaga kwa ushauri ujue, ahsante kwa ushauri wako umefika!
 
Ahsante sana mkuu.

Wakati unapoandika hii post, kuna maelfu ya wanadamu wanavuta pumzi zao za mwisho kuaga dunia, tena wakiwa bado wanatamani waendelee kuishi. Usione Mungu aliyekupa uhai amekosea... Hayo matatizo yanayokuwazisha ni sehemu ya maisha, wengi wamekutana nayo na wakayashinda. Wewe sio dhaifu kiasi cha kuyatoa sadaka maisha yako kwa sababu ya matatizo ya duniani hapa, ungekuwa dhaifu Mungu asingekupa nafasi hii ya kuishi.
Onyesha kwamba wewe ni strong kuliko yeyote na chochote kilicho mbele yako, kwa kuyapuuza hayo unayoyaita matatizo. By the way, huna matatizo, una changamoto tu zinazokutaka uonyeshe kuwa wewe ni wewe, na hakuna aliye wewe zaidi yako...
 
FA.LA wewe!
Sijaomba msaada wa jinsi ya kujiua,bali kuepukana na hali hiyo!
Kukaa kimya ni busara pia.
Asante sana kunipa cheo cha ufala. Lakini huenda wewe ukanizidi ufala, maana wewe unatamani kujiua halafu unauliza msaada. Nenda kamwone daktari wa vichaa atakuelimisha ufala wako ulivyo wa hali ya juu. Sina huruma nawe mvivu wa kufikiri unayedhani kujiua ndo suluhisho hata ati unasema kila mara wazo la kujiua linakujia. Ni kwa sababu hutaki kuwaza mipango ya maendeleo yako ila unataka mambo yaende tu, tegemezi mwovu wewe unayeshawishi wengine wafikiri kama wewe! Shindwa kabisa na kulegea!!
 
Habarini wakuu!
Nimepatwa na matatizo makubwa maishani ambayo yalipelekea nichanganyikiwe akili miaka ya nyuma,ila baada ya kutumia madawa na ushauri wa kisaikolojia,akili yangu ilirudi vyema.
Lakini,kwa miaka yote hiyo,nimekuwa kwenye msongo mkubwa wa mawazo,na mara kadhaa,wazo la kujiua hunijia kwa nguvu.
Hali hii inanitesa,na nashindwa kabisa jinsi ya kutoka hapa.
Naombeni msaada wenu,ili niweze ishi maisha ya kawaida.
Ahsanteni.

Ebana wee jiue tu, watu tupo Tight na maswala ya msingi kama namna ya kumaliza mvutano wa Gesi
 
unahitaj maombi sana sana ila pia itambue nafsi yako kwamba wewe unathamani gani manake no matter what went wrong haina maana kwamba utu wako umeshuka ama maisha yako yamekosa maana. still kuna watu ambao wangependa na wanapenda sana uwepo wako na wanauthamini pia

maisha ni kukosea kisha kunyanyuka unajifuta na kusonga mbele usiangalie wangapi ama yapi yanasemwa ila angalia nini nataka kibadilike kwangu na nitakibadilisha vipi. ni ngumu kuridhisha watu wote lkn pia sio busara kukosana nao wote hivyo mwombe mungu akupe utu wema na moyo wa uvumilivu utaish milele nakuambia.

Ahsante sana mwalimu wangu gfsonwin.
Umenitia moyo sana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom