MSAADA, Nataka KUJIUA

MSAADA, Nataka KUJIUA

Habarini wakuu!
Nimepatwa na matatizo makubwa maishani ambayo yalipelekea nichanganyikiwe akili miaka ya nyuma,ila baada ya kutumia madawa na ushauri wa kisaikolojia,akili yangu ilirudi vyema.
Lakini,kwa miaka yote hiyo,nimekuwa kwenye msongo mkubwa wa mawazo,na mara kadhaa,wazo la kujiua hunijia kwa nguvu.
Hali hii inanitesa,na nashindwa kabisa jinsi ya kutoka hapa.
Naombeni msaada wenu,ili niweze ishi maisha ya kawaida.
Ahsanteni.

Yesu yu hai...uhai wako upo ,una yesu na yesu uko nae hapo ulipo, mpokee utaishi na pepo wa mauti akutoka kwa mamlaka yatokayo juu...
 
Asante sana kunipa cheo cha ufala. Lakini huenda wewe ukanizidi ufala, maana wewe unatamani kujiua halafu unauliza msaada. Nenda kamwone daktari wa vichaa atakuelimisha ufala wako ulivyo wa hali ya juu. Sina huruma nawe mvivu wa kufikiri unayedhani kujiua ndo suluhisho hata ati unasema kila mara wazo la kujiua linakujia. Ni kwa sababu hutaki kuwaza mipango ya maendeleo yako ila unataka mambo yaende tu, tegemezi mwovu wewe unayeshawishi wengine wafikiri kama wewe! Shindwa kabisa na kulegea!!

Ona ulivyo na mawazo ya kimaskini,unadhani matatizo ni ya kiuchumi tu?
Eti mi ni tegemezi!!
Mkuu zaleo,nipo well established kimaisha na kiuchumi,kama huna msaada kula kubwa tu mkuu,fa.la wewe!
 
Last edited by a moderator:
Habarini wakuu!
Nimepatwa na matatizo makubwa maishani ambayo yalipelekea nichanganyikiwe akili miaka ya nyuma,ila baada ya kutumia madawa na ushauri wa kisaikolojia,akili yangu ilirudi vyema.
Lakini,kwa miaka yote hiyo,nimekuwa kwenye msongo mkubwa wa mawazo,na mara kadhaa,wazo la kujiua hunijia kwa nguvu.
Hali hii inanitesa,na nashindwa kabisa jinsi ya kutoka hapa.
Naombeni msaada wenu,ili niweze ishi maisha ya kawaida.
Ahsanteni.

nadhani busara ni kurudi kwa mwana saikolojia. hapa jf kuna watu ambao akilizao ziko nusu huwenda wakakuongezea stress zaidi.people are taking for grnated mambo yanayohusu maisha ya watu.
 
jana ungeenda MTWARA mbona ungepona tatizo lako!,
 
Ona ulivyo na mawazo ya kimaskini,unadhani matatizo ni ya kiuchumi tu?
Eti mi ni tegemezi!!
Mkuu zaleo,nipo well established kimaisha na kiuchumi,kama huna msaada kula kubwa tu mkuu,fa.la wewe!
Asante sana Mkuu kwa kunipamba sana. Nafurahi kujua wewe ni tajiri sana lakini ujumbe wangu umekufikia, nami nafunga mjadala maana bora nikuache ujifie mbali usijenifia bure tukijadili upuzi wako hapa.
 
Habarini wakuu!
Nimepatwa na matatizo makubwa maishani ambayo yalipelekea nichanganyikiwe akili miaka ya nyuma,ila baada ya kutumia madawa na ushauri wa kisaikolojia,akili yangu ilirudi vyema.
Lakini,kwa miaka yote hiyo,nimekuwa kwenye msongo mkubwa wa mawazo,na mara kadhaa,wazo la kujiua hunijia kwa nguvu.
Hali hii inanitesa,na nashindwa kabisa jinsi ya kutoka hapa.
Naombeni msaada wenu,ili niweze ishi maisha ya kawaida.
Ahsanteni.
Mkuu mwamini Bwana Yesu Kristo atakuokoa kutoka katika mawazo ya kutaka kujiua.Mwenzio alinisaidia nilipokuwa na mawazo kamayako!
 
Hali hii inanitesa,na nashindwa kabisa jinsi ya kutoka hapa.

Maisha ni zawadi mwanadamu amepewa na Muumba "Mungu"...
Kabla hujafikia uamuzi wa kujiua jaribu kujiuliza kama alyekupa uhai anahitaji wewe uwe mfu...
Wapo watu waliolala vitandani kwa magonjwa na shida mbalimbali zinazowatesa na hata roho zao kuzimia...
Lakini bado wameweka matumaini yao kwa Mungu Mwenyezi na kusahau maumivu, dhiki, tabu na kadhia zote...
Sasa wewe ambaye una msongo wa mawazo, si zaidi kuliko watu hao walio kwenye dimbwi la maumivu???

Always remember, there's a reason why you still breathe"

Mylove_001.jpg

disabled+trafficking+victim+of+forced+begging.jpg
 
Mungu ni muweza.....hilo ni jaribu tu ila Mungu atakupa mlango wakutokea.Ili upate kupona kwanza samehe alafu Muombe Mungu usahau.Mungu anaenda kufanya kitu jion ya leo kwaa ajil yko.
 
Hatua ya kwanza: jisamehe wewe mwenyewe, samehe yeyote unayedhani amewahi kukukosea, samehe wote uliowakosea.

Hatua ya pili: Tazama maisha kwa mbele (yaani future), achana na ya nyuma (past events), panga mipango ya kuboresha maisha ya kesho.

Hatua ya tatu: Mawazo ya kujiua ni mawazo ya kuona maisha hayana thamani, achana nayo, unathamani kubwa sana kuliko binadamu yeyote (aliye hai au aliyekufa); kumbuka, hujafanana na binadamu yeyote, hivyo na dhamani yako haiwezi kulinganishwa na mtu au kitu kingine chochote.

Hatua ya nne: Jikumbushe jambo au tukio maishani ambalo limewahi kukupa furaha na amani ya nafsi. Kila wazo la kujidhuru linapokuja akilini, geuka mara moja na kutafakari jinsi ilivyokuwa burudani kwa tukio la furaha.

Hatua ya tano: Rudia hatua ya nne mara kwa mara. Utashangaa baada ya muda wazo baya hukosa nguvu na taratibu hutoweka kabisa kwenye fikra zako.
 
Habarini wakuu!
Nimepatwa na matatizo makubwa maishani ambayo yalipelekea nichanganyikiwe akili miaka ya nyuma,ila baada ya kutumia madawa na ushauri wa kisaikolojia,akili yangu ilirudi vyema.
Lakini,kwa miaka yote hiyo,nimekuwa kwenye msongo mkubwa wa mawazo,na mara kadhaa,wazo la kujiua hunijia kwa nguvu.
Hali hii inanitesa,na nashindwa kabisa jinsi ya kutoka hapa.
Naombeni msaada wenu,ili niweze ishi maisha ya kawaida.
Ahsanteni.

Fidelis08 kuna mtu anahitaji msaada wako wa jinsi gani ya kujitoa uhai..he is totally stranded
 
Back
Top Bottom