Msaada: Natafuta CV ya Josephat Gwajima

Msaada: Natafuta CV ya Josephat Gwajima

Wewe ndio hujielewi maana katika maandiko hakuna mahali ambapo mtume walisoma pamoja na MANABII pia.
 
Nasikitika sana kuona mtu anasujudiwa kisa pesa na mail kama helicopter. Tukiendelea hivi kamwe taifa halitaondokana na ugonjwa wa akili (uvivu wa kufikilia na kufanya maamuzi).

Mchungaji anapaswa kujikita kuhubiri na kuongoza kondoo wa bwana si kuubuli chuki na revenge.

Ni Kristu yupi anayemfata na hizo lecture za njee uliwahi shuhudia hata moja au ndo kusikia tu
=kufikiria
=nje
Uwe na siku njema mkuu.
 
Cheti chake ili kikusaidie nini? Uchungaji wa makanisa yetu haya hauhitaji vyeti mkuu
 
Aliekwambia uchungaji una degree nani? Angekua padre au askofu wa roman catholic kdgo tungeweza kuulizia maswala ya elimu . Sasa uchungaji wa gwajima na degree wap na wapi? Mwambie aliekutuma akitaka alimalize hili atoe vyeti vyake hadharani a clarify watu tuone. Ila kugeuza mashambulizi hakusaidii. Ye c anapenda sana Media? Aitishe press conference tena a clarify mambo.
gwajima unaemtetea nae kageuza mashambulizi
 
Ukipata CV ya Gwajima ili ikusaidie mini, acha kupoteza muda wsko Fanya mambo ya maana. Kwani unataka kumpa ajira Wewe no afisa mwajiri?
 
Tunataka na sisi tujue ulisomea chuo gani na wapi huo uchungaji wako,na sisi tunataka utuonyeshe vyeti vyako,sio unaleta ujanja ujanja wa kuiba sadaka za watu wakati hauna taaluma ya uchungaji
Sasa warumi naona mdogo mdooogo akili inaanza kuacha akili amini hivyo
 
Tunataka na sisi tujue ulisomea chuo gani na wapi huo uchungaji wako,na sisi tunataka utuonyeshe vyeti vyako,sio unaleta ujanja ujanja wa kuiba sadaka za watu wakati hauna taaluma ya uchungaji
Tukianza kuulizana vyeti vya dini ni wakatoliki pekee wenye elimu rasmi.

Personally sina shida ya Gwajima maana simlipi mshahara.
 
Uchungaji hausomewi,hata Bwana Yesu Kristo alipo kuja Duniani hakuna mahali ambapo pameandikwa alienda shule,Sauli ambaye ndiye Paulo alisoma chini ya mwalimu mkuu Gamalieli,na baada ya sauli kukutana na nguzo ya moto Ambayo ni Mungu Mwenyewe,alisema na ya hesabu haya yote kama Mavi juu ya Neno la Mungu.so nakushauri Kaa sirini na Bwana Yesu atakuongoza kuhusu ni nini maana ya Mchungaji na anatakiwa awe na qualifications zipi.
 
Alizaliwa Lubumbashi,Congo miaka ya 80,kisha wazazi wake walikimbia vita na kuja kuweka makazi Geita ambako alisoma darasa la kwanza mpaka la tano akawa ameacha shule kwa kukosa uniform.

Akawa anaishi kwa kufanya ufundi ujenzi kabla hajaja Dar es salaam kutafuta maisha.

Alipata wazo la kufungua kanisa baada ya hali ya maisha kuzidi kuwa ngumu miaka ya 2000 akawa ameyapatia maisha
.
Kama hii ni kweli,basi kuna shida !Kwanza watu wanaojiita watumishi kutoka Congo wana tabia ya kutumia ushirikina sana katika huduma zao.Halafu Dah, kutoka darasa la tano mpaka kupata mafanikio aliyo nayo sasa! Sijui bwana labda mimi taahira,lakini ipo shida kubwa.
 
Gwajima kajiajili na ajaajiliwa na kama kaajiliwa basi aliemwajilia haitaji vyeti
 
Ilitabiriwa na manabii kuwa dola ya Warumi ingesambaratika na huu ndio mwako wa kusambaratika. naona umeamka na Gwajima leo,lakini mbona mlivyomtangaza na anabwia ngada yy hakutokwa na povu kama hilo lako? Mwokoe Daudi Alberth Bashite povu kwa Gwajima halimwondolei tuhuma.
 
Wadau, ninatilia shaka sana maarifa na elimu ya huyu ndugu Gwajima (Mch au Askofu?) kutokana na maneno yake mbele ya jamii.

Kuna mwenye CV yake tuichambue hapa? Elimu ya sekondari (csee na acsee), University, Chuo cha Kichungaji alikopitia, dhehebu lake la zamani, n.k.

Tabia zake na za waumini wake ni kama vile ........[/Q
CV yake kubwa ya maana ni kuwa yeye ni mtumishi wa Mungu.
 
Back
Top Bottom