Msaada: Nashindwa kuelewa mimba hii imeingiaje

Msaada: Nashindwa kuelewa mimba hii imeingiaje

Ulivyonitag nimesoma huu uzi ila sijamuelewa mleta mada manake naona matukio yote yametokea mwezi wa nne...na maswali yake ndio yamekuwa magumu zaidi sababu ya uelezeaji wake
😂 😂 Haya mambo ya mimba mimi huwa siulizagi.. akiwa ana mimba azae tu!
 
Hahahaaa eti mimba imeingiaje, hauko serious kabisa.
Itakuwa aliinywa kwenye maji.
Leeni tu mtoto wenu huyo.
 
Naomba unisaidie kitu, aliingia MP tarehe 1/4 2019 nikasex nae hadi tarehe 28 mwezi wa nne, akaondoka Kwenda nyumbani kuwasalimia, Alikuwa akilalamika chuchu zinamuuma!

Tarehe 9/4 akapima upt akakutwa negative, aliporudi Huku ninapokaa tarehe 12/4 nikaendeleza sex ila akawa anaanza kulalamika kuhusu baadhi ya vyakula kunukia vibaya,jana trehe 25 tulipopima upt ikasoma positive, nashindwa kuelewa

1:Mimba aliipata mwezi gani?

2:Alipokuwa Home yaani kuanzia tarehe 28-11 Yawezekana alipatia huko? Japo tarehe 9/4 alipima akakuta negative, nisaidie pls
Kaka we itunze tu hiyo, mambo ya tarehe yatakuchanganya!!
 
ahahaha ni ngumu sana kuwa na uhakika kama mtoto ni wako au la.. Labda Upige Ramli

😂😂😂
Basi muwe mnatumia condom kama mna doubts za mimba za wanawake zenu
 
😂😂😂
Basi muwe mnatumia condom kama mna doubts za mimba za wanawake zenu
Condom kuna pa kutumia.. ila kuna mwanamke wako huwezi kutumia condom .. siku ukitumia itakuwa ugomvi na sintofahamu
 
Condom kuna pa kutumia.. ila kuna mwanamke wako huwezi kutumia condom .. siku ukitumia itakuwa ugomvi na sintofahamu

Basi muwe mnaamini mimba yenu

Hata hivyo condom zinakera...hata mie huwa sipendi mpenzi wangu atumie kwangu
 
Jiandae kulea Baba kijacho acha kutafuta upenyo wa kuyakimbia majukumu yako kama Baba. Hujui kama kuna ndom? Ulipokuwa unakojolea ndani ulikuwa unawaza nini? Papuchi tamu ila majukumu yake kama huangalii mbali ndiyo kizungumkuti.

Naomba unisaidie kitu, aliingia MP tarehe 1/4 2019 nikasex nae hadi tarehe 28 mwezi wa nne, akaondoka Kwenda nyumbani kuwasalimia, Alikuwa akilalamika chuchu zinamuuma!

Tarehe 9/4 akapima upt akakutwa negative, aliporudi Huku ninapokaa tarehe 12/4 nikaendeleza sex ila akawa anaanza kulalamika kuhusu baadhi ya vyakula kunukia vibaya,jana trehe 25 tulipopima upt ikasoma positive, nashindwa kuelewa

1:Mimba aliipata mwezi gani?

2:Alipokuwa Home yaani kuanzia tarehe 28-11 Yawezekana alipatia huko? Japo tarehe 9/4 alipima akakuta negative, nisaidie pls
 
Dah! Mtu anashindwa kuelewa mimba imeingiaje wakati anajua kilichoingia kwenye K. Maajabu haya! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
😂😂😂
Basi muwe mnatumia condom kama mna doubts za mimba za wanawake zenu
Tatizo hamuaminiki unaweza ukakigawa hapa....ukazunguka mtaa wa pili ukakigawa tena....kisha ukaenda mtaa wa tatu ukarudia zoezi...
 
Mkuu nimezaliwa kabla bendera ya Tanganyika haijapandishwa nikapata mtoto kabla hata ya miaka 20 sasa kuitwa babu kunaepukika hapo?, muda umeshanitupa mkono kiasi.
Sasa yule mwanamke Uliezaa naebado yupo? Mawasiliano hadi sasa yapo?
 
Back
Top Bottom