Msaada: Nashindwa kuelewa mimba hii imeingiaje

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...

Hapo unatafuta sababu za kusema siyo yako, wakati ushasema una sex nae...

Kwani wakati unasex nae ulishakaa chini na kujiuliza akipata mimba umejiandaaje?

Cc: mahondaw
 
Tarehe 9 chuchu zilikua zinauma kwa sababu alikua anakaribia ovulation.

Tarehe 14 alipo rudi kama mlifanya sex ndio siku iliyo kuwa ya ovulation na ndipo alipopata kimba

Tarehe 14 ndio akapata KIMBA sawa mkuu nimekuelewa.
 
Amerudi tarehe 28. Mmepima tarehe 25???? Embu eleweka kwanza

Wewe unajua nn kuhusu maswala ya uzazi nenda kacheze na Madildo yako kule
Acha waliokuja kujaza Dunia wajadiliane.
 
Naomba elimu kidogo juu ya chuchu kuuma? Nawasilisha tafwazali
Tarehe 9 chuchu zilikua zinauma kwa sababu alikua anakaribia ovulation.
Tarehe 14 alipo rudi kama mlifanya sex ndio siku iliyo kuwa ya ovulation na ndipo alipopata kimba
 
Ha ha ha hata mm sjaelewa kwa kwel
Ulisex 28 April...
Akapima 9 April...
Akaenda kwao akarudi 11 April....
Mkaendelea kuanzia 14 April....

Daah, sijaelewa, sijui kwakua sijasoma kiarabu, maana huanza kulia kuelekea kushoto...!

Ila napiga lamri, mimba sio yako...
 
We lea mtoto kama umeibiwa utajuwa mwenyewe,kama ungetomba kwa mpira usingekuwa na wasiwasi
 
Tarehe 9 chuchu zilikua zinauma kwa sababu alikua anakaribia ovulation.
Tarehe 14 alipo rudi kama mlifanya sex ndio siku iliyo kuwa ya ovulation na ndipo alipopata kimba

Hajasema alipata "kimba" ila alipata "mimba"
 
Jf sio mahali pa kusaidia watu kuficha uovu wao. Kalee mimba yako hiyo.
Wakati una seduce na kula alamba alamba mbona hukuja kuomba ushauri huku?
Hajakataa jaman anataka authentic ya umiliki wa hiyo mimba ,ila kwa busara za mbaali jamaa anauogopa ubaba huku anapenda utombi!
Lea mimba hiyo shubaamiti na mtoto mwiteni kinoge
 
Sintofahamu yako inakumbusha moja ya mikasa niliyowahi kukutana nayo na sijapata kuisahau maana kuna kitu kinanizuia kusahau
Ipo hivi.. mwaka fulani nilienda babati sehemu iitwayo Galapo katika halakati za ujana na kutafuta maisha nikapata marafiki wawili ambao tulishibana sana, rafiki yangu wa Gidamasi(jina bandia) alikuwa na mwanamke mmoja wa mchanganyiko wa m'mbulu na mang'ati aisee yule dada alikuwa mzuri sana kias kwamba kwa tamaa za ujana nikajikuta nimempora Gidamas yule msichana, ajabu ni kwamba Gidamas hakunichukia zaidi alinambia kumchukulia mwanamke isiwe mwisho wa ukaribu wetu, ndanj ya huohuo mwezi nikapatwa na hali mbaya sana ya kifedha kutokana na kufanya speculation mbovu ya juu ya ishu fulani so nikafanya investment ambayo ilikuja kunimaliza kabisa, yule mwanamke hakuwa mtu wa maisha ya shida so na mimi nikanyang'anywa na jamaa yetu alieitwa Gitemaa(jina bandia), hili tukio lilitokea ndani ya mwezi wa saba(binti alikuwa mtu wa tamaa na wote tulilijua hili), niliponyang'anywa yule bint haikunishtua maana kwa bankruptcy niliyokuwa nayo nilishajua kuwa ataondoka tuu,baada ya mimi kuludi dsm na kupoteza mawasiliano nao kwa muda kuna siku Gidamasi akanipigia akanambia kuhusu yule bint kuwa na ujauzito na kwamba mwezi saba ndipo aliipata sasa changamoto ikawa nani muhusika maana wote tulitembea nae mwezi wa saba aliopata ujauzito baadae bint nae akanipigia kunambia kuwa ujauzito ni wangu.... nilikataa kwa 100% kwakuwa hadith nyuma yake ilikuwa ngumu, mwezi wa tatu wa mwaka uliofaata akanipigia simu kuwa amejifungua na mtoto ni wangu, ... ila mwsho wa picha nilipoenda Babati pale Mrara hospital mtoto nilikuta ni copy yangu
Sasa hivi mtoto yule ni baba wa mtoto mmoja ila hadith hii haijui na hatojua.
Shikamoo babu
 
Upt inaonyesha +ve 2 wks after conception
 
Yaani huyo mtoto wa utata ndio nae ana mtoto, yaani mjukuu wako?
 
Naomba unisaidie kitu, aliingia MP tarehe 1/4 2019 nikasex nae hadi tarehe 28 mwezi wa nne, akaondoka Kwenda nyumbani kuwasalimia, Alikuwa akilalamika chuchu zinamuuma!

Tarehe 9/4 akapima upt akakutwa negative, aliporudi Huku ninapokaa tarehe 12/4 nikaendeleza sex ila akawa anaanza kulalamika kuhusu baadhi ya vyakula kunukia vibaya,jana trehe 25 tulipopima upt ikasoma positive, nashindwa kuelewa

1:Mimba aliipata mwezi gani?

2:Alipokuwa Home yaani kuanzia tarehe 28-11 Yawezekana alipatia huko? Japo tarehe 9/4 alipima akakuta negative, nisaidie pls
hizo tarh na hadith nzima ni vagarant hata sijaielewa. Ila mimba kabla ya wiki mbili unaweza kupima ikawa negative.
 
Mbwembwe zote hizi unatafuta uhalali wa kukimbia mimba tu, jiandae kisaikolojia kuitwa baba
 
Ulisex 28 April...
Akapima 9 April...
Akaenda kwao akarudi 11 April....
Mkaendelea kuanzia 14 April....

Daah, sijaelewa, sijui kwakua sijasoma kiarabu, maana huanza kulia kuelekea kushoto...!

Ila napiga lamri, mimba sio yako...

😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Yaani huyo mtoto wa utata ndio nae ana mtoto, yaani mjukuu wako?
Mkuu nimezaliwa kabla bendera ya Tanganyika haijapandishwa nikapata mtoto kabla hata ya miaka 20 sasa kuitwa babu kunaepukika hapo?, muda umeshanitupa mkono kiasi.
 
Back
Top Bottom