Msaada: Nashindwa kuelewa mimba hii imeingiaje

Jocasta

JF-Expert Member
Aug 28, 2014
280
250
Naomba unisaidie kitu, aliingia MP tarehe 1/4 2019 nikasex nae hadi tarehe 28 mwezi wa nne, akaondoka Kwenda nyumbani kuwasalimia, Alikuwa akilalamika chuchu zinamuuma!

Tarehe 9/4 akapima upt akakutwa negative, aliporudi Huku ninapokaa tarehe 12/4 nikaendeleza sex ila akawa anaanza kulalamika kuhusu baadhi ya vyakula kunukia vibaya,jana trehe 25 tulipopima upt ikasoma positive, nashindwa kuelewa

1:Mimba aliipata mwezi gani?

2:Alipokuwa Home yaani kuanzia tarehe 28-11 Yawezekana alipatia huko? Japo tarehe 9/4 alipima akakuta negative, nisaidie pls
 

Iringa Native

JF-Expert Member
Nov 9, 2011
978
1,000
Sintofahamu yako inakumbusha moja ya mikasa niliyowahi kukutana nayo na sijapata kuisahau maana kuna kitu kinanizuia kusahau
Ipo hivi.. mwaka fulani nilienda babati sehemu iitwayo Galapo katika halakati za ujana na kutafuta maisha nikapata marafiki wawili ambao tulishibana sana, rafiki yangu wa Gidamasi(jina bandia) alikuwa na mwanamke mmoja wa mchanganyiko wa m'mbulu na mang'ati aisee yule dada alikuwa mzuri sana kias kwamba kwa tamaa za ujana nikajikuta nimempora Gidamas yule msichana, ajabu ni kwamba Gidamas hakunichukia zaidi alinambia kumchukulia mwanamke isiwe mwisho wa ukaribu wetu, ndanj ya huohuo mwezi nikapatwa na hali mbaya sana ya kifedha kutokana na kufanya speculation mbovu ya juu ya ishu fulani so nikafanya investment ambayo ilikuja kunimaliza kabisa, yule mwanamke hakuwa mtu wa maisha ya shida so na mimi nikanyang'anywa na jamaa yetu alieitwa Gitemaa(jina bandia), hili tukio lilitokea ndani ya mwezi wa saba(binti alikuwa mtu wa tamaa na wote tulilijua hili), niliponyang'anywa yule bint haikunishtua maana kwa bankruptcy niliyokuwa nayo nilishajua kuwa ataondoka tuu,baada ya mimi kuludi dsm na kupoteza mawasiliano nao kwa muda kuna siku Gidamasi akanipigia akanambia kuhusu yule bint kuwa na ujauzito na kwamba mwezi saba ndipo aliipata sasa changamoto ikawa nani muhusika maana wote tulitembea nae mwezi wa saba aliopata ujauzito baadae bint nae akanipigia kunambia kuwa ujauzito ni wangu.... nilikataa kwa 100% kwakuwa hadith nyuma yake ilikuwa ngumu, mwezi wa tatu wa mwaka uliofaata akanipigia simu kuwa amejifungua na mtoto ni wangu, ... ila mwsho wa picha nilipoenda Babati pale Mrara hospital mtoto nilikuta ni copy yangu
Sasa hivi mtoto yule ni baba wa mtoto mmoja ila hadith hii haijui na hatojua.
 

Nanoli

JF-Expert Member
Oct 15, 2015
3,684
2,000
Ulisex 28 April...
Akapima 9 April...
Akaenda kwao akarudi 11 April....
Mkaendelea kuanzia 14 April....

Daah, sijaelewa, sijui kwakua sijasoma kiarabu, maana huanza kulia kuelekea kushoto...!

Ila napiga lamri, mimba sio yako...
 

Holly Star

JF-Expert Member
Aug 25, 2018
1,655
2,000
naomba unisaidie kitu, aliingia MP tarehe 1/4 2019 nikasex nae hadi tarehe 28 mwezi wa nne, akaondoka Kwenda nyumbani kuwasalimia, Alikuwa akilalamika chuchu zinamuuma!!! Tarehe 9/4 akapima upt akakutwa negative, aliporudi Huku ninapokaa tarehe 12/4 nikaendeleza sex ila akawa anaanza kulalamika kuhusu baadhi ya vyakula kunukia vibaya,jana trehe 25 tulipopima upt ikasoma positive, nashindwa kuelewa1:mimba aliipata mwezi gani?

2:Alipokuwa Home yaani kuanzia tarehe 28-11 Yawezekana alipatia huko? Japo tarehe 9/4 alipima akakuta negative, nisaidie pls
Acha ujinga, mwanaume kukataa mimba ni ujinga wa karne. Unaezakataa mtoto ila sio mimba. Pia ondoa mawazo ya kijinga kwa mpenzi wako
 

Qurie

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
3,347
2,000
Ulisex 28 April...
Akapima 9 April...
Akaenda kwao akarudi 11 April....
Mkaendelea kuanzia 14 April....

Daah, sijaelewa, sijui kwakua sijasoma kiarabu, maana huanza kulia kuelekea kushoto...!

Ila napiga lamri, mimba sio yako...
kachanganyikiwa mwenzenu hayupo tayar kuwa baba nadhani
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom