Msaada: Nashindwa kuelewa mimba hii imeingiaje

Mkuu nimezaliwa kabla bendera ya Tanganyika haijapandishwa nikapata mtoto kabla hata ya miaka 20 sasa kuitwa babu kunaepukika hapo?, muda umeshanitupa mkono kiasi.
Hongera sana boss huko vizuri, naona hujasahau hilo tukio hadi umepata mjukuu itakuwa lilikugusa sana.
 
Kipimo si negative jamani mimba itoke wapi na negative? Naona watu mnaangaika nae wakati ni negative.
 
Hivi unafanyaje mapenzi kavukavu na mtu usiyemuamini kiasi hiki...lea tu..lol
 
Dah hapo wewe jiandae kuitwa baba tu mana kama ulitomba kavukavu basi aina jinsi
 
Naomba unisaidie kitu, aliingia MP tarehe 1/4 2019 nikasex nae hadi tarehe 28 mwezi wa nne, akaondoka Kwenda nyumbani kuwasalimia, Alikuwa akilalamika chuchu zinamuuma!

Tarehe 9/4 akapima upt akakutwa negative, aliporudi Huku ninapokaa tarehe 12/4 nikaendeleza sex ila akawa anaanza kulalamika kuhusu baadhi ya vyakula kunukia vibaya,jana trehe 25 tulipopima upt ikasoma positive, nashindwa kuelewa

1:Mimba aliipata mwezi gani?

2:Alipokuwa Home yaani kuanzia tarehe 28-11 Yawezekana alipatia huko? Japo tarehe 9/4 alipima akakuta negative, nisaidie pls
chini ya siku 6 lazima isome negative.... ww siku zote unatwanga ulitarajia nn? leo watoto ni baraka
 
Naomba unisaidie kitu, aliingia MP tarehe 1/4 2019 nikasex nae hadi tarehe 28 mwezi wa nne, akaondoka Kwenda nyumbani kuwasalimia, Alikuwa akilalamika chuchu zinamuuma!

Tarehe 9/4 akapima upt akakutwa negative, aliporudi Huku ninapokaa tarehe 12/4 nikaendeleza sex ila akawa anaanza kulalamika kuhusu baadhi ya vyakula kunukia vibaya,jana trehe 25 tulipopima upt ikasoma positive, nashindwa kuelewa

1:Mimba aliipata mwezi gani?

2:Alipokuwa Home yaani kuanzia tarehe 28-11 Yawezekana alipatia huko? Japo tarehe 9/4 alipima akakuta negative, nisaidie pls
Jibu:

Aliingia MP 1/4/2019 kutoka tarehe 3 au 4/4/2019 + Ongeza siku 11 Kuanzia tarehe 12/4/2019 mpaka 14/4/2019 unaweza pata mtoto wa kike, kuanzia tarehe 15/4/2019-17/4/2019 mtoto wa kiume.

Kama ulisex naye 12/04/2019 tegemea kupata mtoto wa kike

Naomba unisaidie kitu, aliingia MP tarehe 1/4 2019 nikasex nae hadi tarehe 28 mwezi wa nne, akaondoka Kwenda nyumbani kuwasalimia, Alikuwa akilalamika chuchu zinamuuma!

Tarehe 9/4 akapima upt akakutwa negative, aliporudi Huku ninapokaa tarehe 12/4 nikaendeleza sex ila akawa anaanza kulalamika kuhusu baadhi ya vyakula kunukia vibaya,jana trehe 25 tulipopima upt ikasoma positive, nashindwa kuelewa

1:Mimba aliipata mwezi gani?

2:Alipokuwa Home yaani kuanzia tarehe 28-11 Yawezekana alipatia huko? Japo tarehe 9/4 alipima akakuta negative, nisaidie pls
" Nakuomba Nerea usitoe mimba yangu, mlete Nita mlea...huenda akawa Jiwe aongoze Tanzania"
.
Kwa hizo mechi kubali matokeo.
 
braza kama ulisex nae kati ya tar 10 hadi 18 hasa hasa tar 11 na tar 17 kua mpole jiandae tuu kulea.
 
Naomba unisaidie kitu, aliingia MP tarehe 1/4 2019 nikasex nae hadi tarehe 28 mwezi wa nne, akaondoka Kwenda nyumbani kuwasalimia, Alikuwa akilalamika chuchu zinamuuma!

Tarehe 9/4 akapima upt akakutwa negative, aliporudi Huku ninapokaa tarehe 12/4 nikaendeleza sex ila akawa anaanza kulalamika kuhusu baadhi ya vyakula kunukia vibaya,jana trehe 25 tulipopima upt ikasoma positive, nashindwa kuelewa

1:Mimba aliipata mwezi gani?

2:Alipokuwa Home yaani kuanzia tarehe 28-11 Yawezekana alipatia huko? Japo tarehe 9/4 alipima akakuta negative, nisaidie pls
Mwanamke ndie anaejua mtoto wanani hatakama mliotembea na mupo 100. Basi kati ya hao 100 atajua ninani aliyempa Shibe ile. Ila muda utasema kitakapokuja hicho kichanga. Mungu amjaalie azae kwa salama. Halafu wacha Umalaya mzee Baba magonjwa ni mengi mnoo. Unatakiwa umuogope mmiliki wa Bingu na Ardhi na vilivyomo ndani yake. Alamsiki By. KUBWA LINALOKUJA.
 
😂😂 hahaa sina maana hiyo.. mambo ya wanawake mwanamke akiyazungumzia hueleweka vizuri!

Ulivyonitag nimesoma huu uzi ila sijamuelewa mleta mada manake naona matukio yote yametokea mwezi wa nne...na maswali yake ndio yamekuwa magumu zaidi sababu ya uelezeaji wake
 
Back
Top Bottom