Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,684
Mwenyewe sijamuelewa kwakwel sa sijajua siku zinarud nyuma ama vpUlisex 28 April...
Akapima 9 April...
Akaenda kwao akarudi 11 April....
Mkaendelea kuanzia 14 April....
Daah, sijaelewa, sijui kwakua sijasoma kiarabu, maana huanza kulia kuelekea kushoto...!
Ila napiga lamri, mimba sio yako...
Jitahd kufatilia njia salama kupanga uzaz sku ingine hv vtu vdogo umalize mwenyeweNaomba unisaidie kitu, aliingia MP tarehe 1/4 2019 nikasex nae hadi tarehe 28 mwezi wa nne, akaondoka Kwenda nyumbani kuwasalimia, Alikuwa akilalamika chuchu zinamuuma!
Tarehe 9/4 akapima upt akakutwa negative, aliporudi Huku ninapokaa tarehe 12/4 nikaendeleza sex ila akawa anaanza kulalamika kuhusu baadhi ya vyakula kunukia vibaya,jana trehe 25 tulipopima upt ikasoma positive, nashindwa kuelewa
1:Mimba aliipata mwezi gani?
2:Alipokuwa Home yaani kuanzia tarehe 28-11 Yawezekana alipatia huko? Japo tarehe 9/4 alipima akakuta negative, nisaidie pls
😂😂😂😂Tatizo hamuaminiki unaweza ukakigawa hapa....ukazunguka mtaa wa pili ukakigawa tena....kisha ukaenda mtaa wa tatu ukarudia zoezi...
kama sio yake basi itakua ni ya wanakijiji wa alikoenda bintiKitanda hakizai haramu
Yeeee vinazaaa... Wewe mwenyewe Ni zao la kitandaEee!, Kumbe vitanda vya sikuhizi vinazaa!![emoji848]
Mii naona Ni yakekama sio yake basi itakua ni ya wanakijiji wa alikoenda binti
msaidie mkuu,wengi wanajua mimba inaingia siku ya yai kupevuka ,haelew kama mwanaume sperm zaweza kuwa hai for 72 hourz mwanamke 24 hourz,3 dayz before and 2 dayz after yai kupevuka,mimba yawezapatkanaMii naona Ni yake
Mkuu usiseme kwa kujiamini namna hiyo kwa kuwa hayajakupata.Mnatupa kazi kubwa sana kuelewa upuuzi wenu, mtu hujui hata kujieleza, unatuchanganya na vi tarehe vyako miguu chini juu, tukuelewe vip?
Yaani ni kama vile kufanya mtihani bila kuelewa swali ukijisemea moyoni, "nitaandika nachokijua mwalimu atachagua jibu sahihi"[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wee mpuuzii embu nikupe ushauri kuanzia binti alipoingia period.
Kama aliingia period trh 1/4 assume ana mzunguko wa Siku 28.
Period 1/4 -5/4 lazima atoke period.
5/4- 10/4 free days hawezi kupata mimba
10/4-17/4 hapo katikati kupata mimba ni lazima ie.trh 12&13 mtoto Wa kike, trh 14pekee ndio probability kubwa ya mtoto wa kiume, trh 15&16 mtoto Wa kike.
Therefore, kwa mtu kwenye mzunguko wa Siku 28 kuanzia trh 18 mpaka atakapoingia period tena ni free day hawezi kupata mimba.
Kwa case yako kama alipotoka period ulilala nae hadi hiyo trh 28 mimba ni yako.
Lakini kama tangu alipo toka period hukulala nae ukaja lala nae Siku ya trh 28 mtoto si wako.
Note. Kwakuwa hujui kujieleza wewe ulikuwa unachomeka tu uzembe ni wako , hujui kuhesabu trh hujui ovulation inatokea lini, upo tu condom hujui hata mfuko wa sukari ungevaa tu[emoji16], Lea tu kitanda hakizae haramu, nyau wewe[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Yeeee vinazaaa... Wewe mwenyewe Ni zao la kitanda